Hatimaye Masanja Mkandamizaji amvika pete mchumba wake

1.png

Miongoni mwa vitu vinavyozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na picha zinazomuonyesha Masanja Mkandamizaji akimvisha pete msichana anaedaiwa kuwa mchumba wake,kwenye picha hizo Masanja na mchumba wake huyo wanaonekana wakiwa kanisani na baadhi ya waumini akiwemo Mc Pilipili na Emanuel Mbasha.

Hapo chini kuna video ambazo zimewekwa na Mc Pilipili zikionyesha mazingira halisi ya namna shughuli hiyo ilivyokuwa.

Ama kweli naamini kila goti litapigwa

CHANZO: Masanja Mkandamizaji amvisha pete mchumba wake.

that's another side of the truth i agree,have you ever meet an ugly lady,bad face and shape with sexual/physical attraction? ninao wajua ambao huwa na sexual attraction atleast lazima wawe na kimoja au vyote au wawe normal(kawaida-sio mbaya sio mzuri)...lakin a lady with ugly face and ugly shape having sexual/physical attraction...sijawahi ona.
Beauty is in the eye of the beholder. what matters ni muhusika avutiwe na baby wake basi, coz wengine tunaweza ona kama huyo mtu hatuvutii. Unajua kitu mvuto? Kuna watu wana hayo ma-shape lakini unaishia kuwatamani kwa dk 1 afu nitolee na Kuna mwingine ana kimwili cha kawaida ila ndo unakosa hadi na usingizi juu yake. Au hujawahi ona mtu ana shape ya kawaida mnooo ila watu wanapanga foleni?

Au ushakutana na mtu ile mwanzoni hajakuvutia kabisa ila as days pass by unaanza kuvutiwa naye hatareee. My point is sio mtu ndo uignore kabisa what's on the outside, ila what matters ni mtu anavyokuvutia na inawezekana akaja kwenye package ambayo hujawahi kuwa na fantasy nayo kabisa. It's all about what you need, and not want you want. Otherwise wengine tusingepata hata psi psiii, wangeolewa tu bongo movie lol
 
Uko sahii mtu awe walau wakawaida...but not ugly face and shape,halafu tuseme anatiba nzuri;mtu umbebe tu.
 
Hahaha everyone is beautiful in their own ways. Cha msingi wewe tafuta wa kwako anayekuvutia basi. It's not all about the inner beauty, physical attractions lazima nayo ihusike sana tu
 
...physical attraction inaweza isihusike hata kidogo...
 
Nani huyo?kohoa umbea huo tuusikie...Ukikaa nao kooni utapaliwa au kupata saratani ya koo!!Umbea raha yake uuteme,ni tiba kwa magonjwa nyemelezi ya kinywa na koo
Tema Mkuu tema huo
Ha ha ha ha ha mbea ulietukuka lol
 
Hahaha everyone is beautiful in their own ways. Cha msingi wewe tafuta wa kwako anayekuvutia basi. It's not all about the inner beauty, physical attractions lazima nayo ihusike sana tu
thats just saying kwamba killa mmoja ana mzuri/uzuri wake,but in reality mzuri/wakawaida anaonekana on every one eyes...sema kila mbuzi anakula na urefu wa kamba yake au wafu na wafu wenzao. hizi kauli za kilaa mmoja huwa ana mzuri wake huwa ni zakujipa moyo na muda mwingine kujitia woga...maake ingekuwa hivyo watu wange kuwa hawageuzi shingo zao,mara utasiki.."daah yule mtoto balaa...umemuona..." na mwingine si ajabu nyumbani kaacha mzuri wake
 
thats just saying kwamba killa mmoja ana mzuri wake,but in reality mzuri/wakawaida anaonekana on every one eyes...sema kila mbuzi anakula na urefu wa kamba yake au wafu na wafu wenzao. hizi kauli za kilaa mmoja huwa ana mzuri wake huwa ni zakujipa moyo na muda mwingine kujitia woga...maake ingekuwa hivyo watu wange kuwa hawageuzi shingo zao,mara utasiki.."daah yule mtoto balaa...umemuona..." na mwingine si ajabu nyumbani kaacha mzuri wake
It's all about Needs Vs Wants. Masanja angeweza kuafford kabisa huyo mwanamke ambaye kila mtu angemgeuzia shingo, but luckily she Is all he needs.
 
...physical attraction inaweza isihusike hata kidogo...
Inawezekana kabisa pia. But uhusiano bila physical attraction mmh sijui lakini, coz hakuna linaloshindikana chini ya jua
 
Hongera zako Masanja,ila ujiandae,raha hiyo unayoiona hapo unapovisha hiyo pete na kushangiliwa na umati wa watu usifikiri ndicho utakacho kutana nacho huko uendako,umeingia kwenye aina mpya ya maisha yenye changamoto nyingi kuliko maelezo,mtangulize Mungu kwani shetani anaishambulia hiyo sakramenti kwa nguvu zake zote.
 
It's all about Needs Vs Wants. Masanja angeweza kuafford kabisa huyo mwanamke ambaye kila mtu angemgeuzia shingo, but luckily she Is all he needs.
its true mke wa masanja mbona mzuri/wakawaida...mimi hofu yangu ni kwa mtu anayedai mke tabia. My concern is an ugly most men push her away unless got something extra...na hiyo extra sio tabia.
 
Inawezekana kabisa pia. But uhusiano bila physical attraction mmh sijui lakini, coz hakuna linaloshindikana chini ya jua
kuna watu wamejifunza kutokana na makosa,physical attraction waliweka vigezo na namba moja..Baada ya kutendwa hasa lazima strategy ibadilike.Si unajua ukiumwa na nyoka,hata ukiguswa na jani tu,...
Pia Mila na Tamaduni za sehemu husika ni kigezo kikuu katika wapenzi kuchaguana/kuchaguliwa...Kuna jamii nyingine ilimradi wewe ni ''pure''(bikra) bila kujali una umbo ama sura ya namna gani,basi wewe ni kigezo tosha cha kugombewa na vijana wengi...
 
Tyta kule juu kote, point yangu ilikuwa between "looks" and "physical attraction".

Ila kweli kuna mahusiano yameanza bila physical attraction ( mfano wale wanaoozeshwa tu bila kufahamiana) Ila ndo yamedumu na wana furaha mnooo. Nachoamini hao wapendwa learnt to grow In love. You couldn't get what you wanted, so you simply embrace what you have.
 
Back
Top Bottom