Mzee wa Torano
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 519
- 700
Km mnafanana vile uwembambahahaaaa fulani atakua kazimia wallah siyo kwa kujipendekeza kule.
nyie ndo mnaoniombea nipungue.. mie mwili huo wa shida niutoe wapi?Km mnafanana vile uwembamba
Inglishi figa[emoji12]nyie ndo mnaoniombea nipungue.. mie mwili huo wa shida niutoe wapi?
Haya maneno ni somo kwangu.Hongera zako Masanja,ila ujiandae,raha hiyo unayoiona hapo unapovisha hiyo pete na kushangiliwa na umati wa watu usifikiri ndicho utakacho kutana nacho huko uendako,umeingia kwenye aina mpya ya maisha yenye changamoto nyingi kuliko maelezo,mtangulize Mungu kwani shetani anaishambulia hiyo sakramenti kwa nguvu zake zote.
mda wote huo hajaoaView attachment 364922
Hii imetokea kwenye ibada katika kanisa la miito ya Baraka Jangwani Dsm
Mchekeshaji, Muhubiri na Mshereheshaji Masanja Mkandamizaji amvisha pete mke wake mbele ya macho ya Mwakibolwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duhuu we hatariiiNani huyo?kohoa umbea huo tuusikie...Ukikaa nao kooni utapaliwa au kupata saratani ya koo!!Umbea raha yake uuteme,ni tiba kwa magonjwa nyemelezi ya kinywa na koo
Tema Mkuu tema huo
halafu kale ka wimbo si kalifungiwa utasikia mimi nataka mtoto tu basi teheteheYamebaki manunga yembe
eboooo sasa wivu anaonewa Masanja roho inakuuma weweWivu wa nini? Basi kaolewe wewe mwenye makalio
Mimi ninayo madogo...mpunguzie ya kwako maana nayaona ni makubwa kabisaKama unayo makubwa mpunguzie
Tatizo lako nini?Mbona ka bi kezee...!!!
BACK TANGANYIKA