Hatimaye Masanja Mkandamizaji amvika pete mchumba wake

Hatimaye Masanja Mkandamizaji amvika pete mchumba wake

Huyu jamaa huwa namkubali sana linapokuja swala la kuwa responsible na maisha yake. Kwa hili kaongeza credit and natumai ataonyesha mfano kwa vijana wa kisasa.
 
Hongera zako Masanja,ila ujiandae,raha hiyo unayoiona hapo unapovisha hiyo pete na kushangiliwa na umati wa watu usifikiri ndicho utakacho kutana nacho huko uendako,umeingia kwenye aina mpya ya maisha yenye changamoto nyingi kuliko maelezo,mtangulize Mungu kwani shetani anaishambulia hiyo sakramenti kwa nguvu zake zote.
Haya maneno ni somo kwangu.
 
1.png
 
Nani huyo?kohoa umbea huo tuusikie...Ukikaa nao kooni utapaliwa au kupata saratani ya koo!!Umbea raha yake uuteme,ni tiba kwa magonjwa nyemelezi ya kinywa na koo
Tema Mkuu tema huo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duhuu we hatariii
 
Mbona mchumba anaangalia na concentration kubwa kwenye alipofungiwa simba jeuri?
 
mbona mke bomba. macho mazuri, kaumbo adimu, rangi adimu. Mungu akupe nini? giggy mahela?
 
Hayawi hayawi Mwisho yamekuwa kwa mkandamizaji.
Hatimaye Mchungaji kachumbia mwanamke wa nguvu kabila la kisukuma.
Tunaisubiri kwa hamu siku ya ndoa yako mchungaji, ww ni mfano wetu wa kuigwa.
ila nina Swali la kizushi kwa mchungaji wangu masanja!
FB_IMG_1468311761557[1].jpg

Je, Bibilia inasemaje kuhusu kukandamizana kabla ya ndoa? ....mwanawane umejipangaje siku ukiibiwa kifaa hiki Hhahahahahahahahah TUTAKUJA MWANAWANE.
 
Masanja nakushauri tu kuwa sumu ya safari yenu ya kuoana ni kugegedana kabla ya ndoa...kama umekipita hicho kizuizi basi hongera sana
 
Back
Top Bottom