HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

Mkuu Golf baby walker πŸ˜‚πŸ˜‚ Vitamu sana ivo. MK ngapi maana wana generations zao wanaziname MK sahivi nadhani wapo MK8
Citi golf hapo huniambii kitu, huyu ni mchumba wakijerumani, kwenye series ya mk nimependa hii series ya mk4 ijapokuwa mk 7 na mk 8 zimetulia, sema hizi gari kwa South Africa mk 7 na mk8 ni risk sana kumiliki hata uwe na bastola wajanja wanaondoka na hii gari. Ndio gari zinazoongoza kuibiwa

Sema citi golf bongo sijawahi kukutana nayo
 
Gari ya 2000cc ya petroli kwa safari ndefu kidogo iko robust zaidi. Sema kwa hizi bei zetu za mafuta maumivu. Alafu pia kampuni ya gari mtu anayoamua kununua ni mazoea kwangu mimi naona toyota ina diversity yakutosha sana ya kufanya uchaguzi. Ikipata hitilafu hukuni kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…