sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Baada ya kipande kidogo kusikika kwenye documentary yake akiimba shida zitaisha lini na watu kuvutiwa sana na soundtrack hiyo.
Mbosso khan ameamua kuingia studio na kumalizia iwe wimbo kamili baada ya watu wengi ikiwemo Benpol kuuomba huo wimbo uachiwe.
amerekodi na kuufanya kuwa wimbo kamili.
mbosso anatisha haters wake anazidi kuwavua nguo na mitaa ameiteka haswa