Hatimaye Mbosso asikiliza kilio cha mashabiki na BenPol..Aachia ''shida''

Hatimaye Mbosso asikiliza kilio cha mashabiki na BenPol..Aachia ''shida''

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066


Baada ya kipande kidogo kusikika kwenye documentary yake akiimba shida zitaisha lini na watu kuvutiwa sana na soundtrack hiyo.

Mbosso khan ameamua kuingia studio na kumalizia iwe wimbo kamili baada ya watu wengi ikiwemo Benpol kuuomba huo wimbo uachiwe.

amerekodi na kuufanya kuwa wimbo kamili.

mbosso anatisha haters wake anazidi kuwavua nguo na mitaa ameiteka haswa
 
Chunga miguu kuvaa raba zisizokutosha, anaesema riziki mafungu saba aanakupotosha riziki mafungu mawili kupata au kukosa...aliyoyasema baba heshma ya nyumba sio dirisha,,,dunia ni saa mbovu mwana usijeifatisha, vingine vinakaba unywe maji kupitisha, umia upate kovu baba maumivu yatakwisha
 
Japo sijausikia ila wimbo mzuri Sana mboso katisha.

nipo marekani sijui kiswahili gonga like

[HASHTAG]#siomiminimashabikiwadiamondhao[/HASHTAG]
Nimecheka sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom