Hatimaye Mbwana Samatta aanza kujisogeza kwa wadada wa "bongomuvi".

smarte_r

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
4,564
Reaction score
12,014
angalizo: mimi sio mtu wa habari za udaku, ila leo najaribu kuanzisha thread kwa kutumia approach ya kiudaku.

twende kwenye mada kuu.
nakumbuka miaka kadhaa iliyopita hapa jf, watu mbalimbali walimfsia sana mbwana samatta kwa kujiweka mbali na wadada "wadangaji wa mujini" hususani wa kutokea tasnia ya bongo movie.

inasemekana kila mbwana samatta anaporudi likizo toka ughaibuni anakocheza soka, wadada maarufu wa mujini huwa wanatumia kila mbinu ili wapate nafasi ya kuwa karibu naye.

licha jitihada hizo, wengi huwa hawampati maana mbwana samatta sio mtu wa kuzurula usiku kwenye kumbi mbalimbali za starehe na akitua tu bongo huwa anajificha kule kwao mbagara mpaka likizo yake iishe.

yaani ni agharabu sana kumuona akishinda mitaa ya kinondoni wanakopatikana wadada wengi wadangaji wa mujini na wakaka "midananda"(wapambe).

ila safari hii naona kama samatta kaenda kinyume na msimamo wake. kwa mara ya kwanza amempost mdada wa bongo movie monalisa.

hii ndio sawa na kusema, wadada wa bongomuvi hawakwepeki kwa vijana wenye pesa. ila shida yao ni moja, ukishaanza kujihusisha nao kimapenzi, mafanikio yako kiuchumi yanaweza kutoweka. ni kama wana gundu hivi.
 
1
 
Kama ni kweli samata acha huo mchezo halafu nasikia anataka kwenda kucheza ligi yenye laana duniani isiyokuwa na mkubwa Wala mdogo tafadhali sana samata kama unataka kuiga siyo kihivyo kaka hatareee etii unataka ENGLAND
 
ushauri mzuri
 
Ana kiburi ehh juzi alisema hakuwai pata support ya mtu yeyote ni kipaji chake tu
 
acheni ujinga nyie hicho ni kitu cha kawaida kumpost sabab alikuw among supoters na hamna chochote kibaya hata kina bechkam wamefany haya...wabongo acheni zenu bhana
 
acheni ujinga nyie hicho ni kitu cha kawaida kumpost sabab alikuw among supoters na hamna chochote kibaya hata kina bechkam wamefany haya...wabongo acheni zenu bhana
hakuwai kupost watu wa dizaini hiyo hata siku moja. hii ni mara ya kwanza.
 
Hii dunia bila hao viumbe baba mambo hayaendi, Samatagoal kula maisha wakati ndio huu. Hata ingekuwa Mimi ningewala tuu! maana hakuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…