Hatimaye Mbwana Samatta aanza kujisogeza kwa wadada wa "bongomuvi".

Acha fikra zako hizo, Samatta ana mwanamke na Watoto wawili juu. Ndiyo maana humwoni kuhangaika na mabinti, hata picha moja ya kupiga nao inayoweza kuwa ushahidi ukiambiwa uilete. Hutakuwa nayo.

Jamaa ndiyo maana Mwanamke wake kamuweka mbali na media, hizi nongwa zenu wangetengana siku nyingi

Yaani Monalisa kupigwa picha uwanjani, akaipost ushaleta tafsiri yako
 
Ana kiburi ehh juzi alisema hakuwai pata support ya mtu yeyote ni kipaji chake tu
Ndo ukweli Mkuu kafight mwenyewe hadi kufikia hapo, wabongo wangapi wanachemka?

Kuhusu Bongo movie atapotea kweli maana watampulutisha dakika sifuri
 
Acha uduanzi we ushawahi kumsupport?au unaleta uchawi tu?
Ww ndio Sammata mwenyewe jichunge mzee baba! tunataka tukuone unakuwa on top of the top kwenye top league....ligi ya Belgium ni njia tu....
 
Ana kiburi ehh juzi alisema hakuwai pata support ya mtu yeyote ni kipaji chake tu

Hakupata sapoti? huko mazembe alijiuza mwenyewe?? Na huko Genk kajiuza mwenyewe? . na soka kajifundisha mwenyewe!! .. au kwake sapoti ni nini?
 
Mtu ka hustle mwenyewe mna mpangia matumizi. Akili aliyotumia kufika alipo fika ina mtosha kujua kipi bora kwake
 
Hakupata sapoti? huko mazembe alijiuza mwenyewe?? Na huko Genk kajiuza mwenyewe? . na soka kajifundisha mwenyewe!! .. au kwake sapoti ni nini?
Kipaji chake ndo kimefanya hao mazembe na genk wamfate na kumnunua, Bongo nyoso sana. Yaan mtu kaweka jitihada zake full afu uje kizembezembe tu unasema tumempa support.
Bongo utapewa support tu ya kubebewa Jeneza ukifa, na kupostiwa kipind hata huwez kuziona hizo post. Lkn mengine sahau kabisa
 
Praise timu watasema Serikali imemsaidia
acheni mindset za ajab...tofautisha kiburi na kuongea reality...mtu kaongea reality mnaanz kutumia kivuli cha kiburi kupotez ukwel tuambie nan kamsapot?
 
Hakupata sapoti? huko mazembe alijiuza mwenyewe?? Na huko Genk kajiuza mwenyewe? . na soka kajifundisha mwenyewe!! .. au kwake sapoti ni nini?
soka ni kipaji kutoka kwa Mungu ,huwezi kusema mesi kafundishwa kuwa vile au kuna kocha kamfanya samatta kuwa hivyo ,kwanini asingewafundisha wachezaji wote wawe kama samatta,hapo ni juhudi zake na kujituma.
kuuzwa mazembe au Genk sio sapoti, pia ni juhudi zake,aliuzwa ili watu wapige pesa,kama sio juhudi binafsi asingeuzwa huko.kwani wachezaji wangapi wamecheza mazembe wote wameuzwa Genk? au time nyingine kubwa za ulaya?
 
sawasawa kabisa.
 
Mtu ka hustle mwenyewe mna mpangia matumizi. Akili aliyotumia kufika alipo fika ina mtosha kujua kipi bora kwake
shida ni record mbaya za wadadabwa bongomuvi. hata huyo monalisa naye ninwale wale tu wadagangaji.
 
hakuna sehemu nilisema kwamba samatta hana mke au familia yake.
 
acheni wivu, kuna nini cha ajabu hapo! msimbebeshe zigo zito ashindwe hata kuongea na watu kisa awafurahishe nyie!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…