Hatimaye Mbwana Samatta aanza kujisogeza kwa wadada wa "bongomuvi".

Hela zote alizonazo akule mwenyewe si uchoyo huo?
 
Wabongo kwa ku-complicate mambo, sasa shida i wapi hapo kwa Mbwana ku post alichopost!!!

Yvone yupo jukwaani showing up her support kwa kuvaajezi ya Genk, customized with that captaincy arm band...ndani ya uwanja na siku ya mechi
 
Asije akamkwaa Uwoya hapo ndipo utakua mwisho wake, mana dada yetu achilia kukumkamua fedha, atamkamua na mafuta yote mwilini mpira huo mpira utamshinda. Utalishwa mtandao pendwa mpaka ajisahau.
 
Asije akamkwaa Uwoya hapo ndipo utakua mwisho wake, mana dada yetu achilia kukumkamua fedha, atamkamua na mafuta yote mwilini mpira huo mpira utamshinda. Utalishwa mtandao pendwa mpaka ajisahau.
Duuu uwoya anatoa mtandao pendwa
 
Hukuwepo wakati nazisaka, so, Usinipangie ku'spend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…