Hatimaye mchezaji wa Coastal Union Ali Kiba ajirekebisha

""jambo ambalo limeibua sintofahamu kubwa sana. """"
SINTOFAHAMU IMETOKA WAPI
 
Tatizo la wabongo mnasahau kuwa kuna Maisha ya uhalisia Nje ya mitandao" Mnataka kila kitu kiwe kinafanyika mitandaoni".. itafika mahali mtataka hao ma star wenu wawe wanalala nakuamka humo humo mitandaoni"..... Mtoa Mada hivi ni nani bora kati ya anaye mpost marehemu mitandaoni na yule ambaye anajihimu kwenda kumzika marehemu ""???!!!
 
Ali Kiba misiba kibao huwa haendi.
 
Back
Top Bottom