Hatimaye Mechi ya Simba S.C vs Mbeya City yasogezwa mbele

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Chama cha soka nchini TFF hatimaye kimeridhia ombi la klabu ya Simba na hivyo kuamua kusogeza mbele mchezo wao wa ligi ya Nbc dhidi ya Mbeya City Ulivokuwa ufanyike tarehe 17/Jan.

Hatua iyo imefikiwa ili kuipa nafasi Simba S.C iweze kujipanga vyema kuliwakiliaha taifa huko uarabuni kwenye mechi zake za kirafiki.

Nawasilisha

 
Yanga walicheza with fatigue just imagine kutoka Tunisia kuja bongo lazima upite Dubai then ndio uje tena Africa

Wamefika Dar wakaunganisha kwenda Mwanza ni kwa sababu ya utimamu (fitness) plus squad depth (upana wa kikosi) ndio maana yanga waliweza ku manage, Ila kiuhalisia this wasn't fair hata kidogo

Mpira no mchezo wa kitaalamu (sayansi) kama mmoja anapata mapumziko stahiki why na mwingine asipewe ili kutengeneza common ground ?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Wanatengenezewa mazingira ila kwa vile timu lao bovu hata wafanyeje lazima tutawabutua tu na wataambulia kombe la uji tu hawa mbwakoko
 
Wewe taahira umesahau kuwa TFF waliwagomea YANGA wakiwa Tunisia wakakataa ombi lao la kuahirisha mechi Yao dhidi ya Kagera sugar?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Simba ni kubwa kuliko Yanga, ushajioneaaa mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa wataongeza week kumbe siku moja lzm Simba akalie
 
Ndio busara
 
Lia taratibuu mwayaaa, kelele za nini?

Ukimaliza kulia, futa machozi afu kunywa maji na upumzikeee.

Poleeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanatengenezewa mazingira ila kwa vile timu lao bovu hata wafanyeje lazima tutawabutua tu na wataambulia kombe la uji tu hawa mbwakoko
Povuuuuuuuu jingiii, suguliaa pumbu hizo sio zinababukaaa km andazi la mama hassan pale Kibo. Lol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ina ukubwa gani we mkia? Ungesema Simba inapendelewa zaidi ya Yanga Hapo ungeeleweka vizuri
Chura FC kaa kwa [emoji360], huyu mchezo hau hutaji vilio na kelele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo la kucheza na na fatique mlilianzisha nyie msimu uliopita. Kikombe kile lazima mkipitie with no excuse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…