Siku zote mlikuwa wapi mpaka mnaanza tena preseason Dubai. Kwasasa unatengeneza timu hiyo jeuri unaitolea wapi? Timu yako ni kama mwanafunzi anayeomba mtihani usogezwe mbele kisa tu hakujiandaa kwasasa.Mkuu tuliwaletea fainali za CAF hapa 1993, timu pekee ya Tanzania kuwahi kufanya hivyo. Exactly miaka 30 baadae tunawaletea tena fainali ya CAF hapa ila safari hii tunabeba ndoo. Kumbuka maneno haya.
Haswaaaaaah.Hilo mbona linajulikana mkuu.
Simba hapa Africa ni kubwa na imezidiwa ukubwa na timu 11 tu kule CAF.
Kwa ukanda huu wa CECAFA - Simba ndio mtemi wetu, hivyo tuwe na adabu kwa wakubwa.
Ni game moja tu imesogezwa siku moja mbele, sielewi kelele za nini. Na hii siyo preseason. Preseason tulienda Misri, mkatubeza. Kuna break fulani tulienda Sudan mkatubeza ila matokeo yake tulikuja kuyaona.Siku zote mlikuwa wapi mpaka mnaanza tena preseason Dubai. Kwasasa unatengeneza timu hiyo jeuri unaitolea wapi? Timu yako ni kama mwanafunzi anayeomba mtihani usogezwe mbele kisa tu hakujiandaa kwasasa.
Tatizo ni kwamba mnaenda Dubai huku mkijua mnamechi tarehe 17. Maanake mnajua uongozi wa soka la Tanzania ni wenu lolote mnalotaka lazima wafanye. Ingekuwa ni swala la ghafla sawa.Ni game moja tu imesogezwa siku moja mbele, sielewi kelele za nini. Na hii siyo preseason. Preseason tulienda Misri, mkatubeza. Kuna break fulani tulienda Sudan mkatubeza ila matokeo yake tulikuja kuyaona.
Nawajua sana mlivyo, mnaongea sana sasa hivi halafu baada ya mwaka mtakuja kutuiga.
Relax bro. Ni siku moja tu tena Mbeya City watapata muda zaidi wa kujiandaa!Tatizo ni kwamba mnaenda Dubai huku mkijua mnamechi tarehe 17. Maanake mnajua uongozi wa soka la Tanzania ni wenu lolote mnalotaka lazima wafanye. Ingekuwa ni swala la ghafla sawa...
Umeshindwa kujibu hoja umefanya hitimisho. Sawa watoto wa TFFRelax bro. Ni siku moja tu tena Mbeya City watapata muda zaidi wa kujiandaa!
Habibi come to Dubai.MECHI ZA KIRAFIKI LEO
SIMBA VS AL DHAFRA YA DUBAI HUKO
YANGA VS MBUNI YA MBAGALA..
😂 😂 😂 😂 Mlongo mlongo chondiiiiiiiiiiiiii..!!Povuuuuuuuu jingiii, suguliaa pumbu hizo sio zinababukaaa km andazi la mama hassan pale Kibo. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu tu wa kichawi! Mbona ninyi mpo kigamboni mnakula mihogo na hatusemi?Hilo mbona lilikuwa wazi mkuu, Hawa tff huwa wanatafuta sababu ili kuipendelea timu yao mbovu ya Simba
Maji yameisha kwenye dimbwi lazima watoke njeNlijua tu lazima kelele zianze na umekuwa wakwanza na mitusi juu 🤣 🤣 🤣 huu mchezo hauhitaji hasira, kwanza wamesogeza siku moja tu
Yaani kuongeza siku1 washaanza kulia🤣🤣🤣Maji yameisha kwenye dimbwi lazima watoke nje
Tayari mshaliwa huko Dubai[emoji1][emoji1]Maji yameisha kwenye dimbwi lazima watoke nje