Hatimaye Mechi ya Simba S.C vs Mbeya City yasogezwa mbele

Hatimaye Mechi ya Simba S.C vs Mbeya City yasogezwa mbele

Mkuu tuliwaletea fainali za CAF hapa 1993, timu pekee ya Tanzania kuwahi kufanya hivyo. Exactly miaka 30 baadae tunawaletea tena fainali ya CAF hapa ila safari hii tunabeba ndoo. Kumbuka maneno haya.
Siku zote mlikuwa wapi mpaka mnaanza tena preseason Dubai. Kwasasa unatengeneza timu hiyo jeuri unaitolea wapi? Timu yako ni kama mwanafunzi anayeomba mtihani usogezwe mbele kisa tu hakujiandaa kwasasa.
 
Hilo mbona linajulikana mkuu.
Simba hapa Africa ni kubwa na imezidiwa ukubwa na timu 11 tu kule CAF.

Kwa ukanda huu wa CECAFA - Simba ndio mtemi wetu, hivyo tuwe na adabu kwa wakubwa.
Haswaaaaaah.
 
MECHI ZA KIRAFIKI LEO
SIMBA VS AL DHAFRA YA DUBAI HUKO

YANGA VS MBUNI YA MBAGALA

KUPANGA NI KUCHAGUA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Siku zote mlikuwa wapi mpaka mnaanza tena preseason Dubai. Kwasasa unatengeneza timu hiyo jeuri unaitolea wapi? Timu yako ni kama mwanafunzi anayeomba mtihani usogezwe mbele kisa tu hakujiandaa kwasasa.
Ni game moja tu imesogezwa siku moja mbele, sielewi kelele za nini. Na hii siyo preseason. Preseason tulienda Misri, mkatubeza. Kuna break fulani tulienda Sudan mkatubeza ila matokeo yake tulikuja kuyaona.

Nawajua sana mlivyo, mnaongea sana sasa hivi halafu baada ya mwaka mtakuja kutuiga.
 
Tatizo ni kwamba mnaenda Dubai huku mkijua mnamechi tarehe 17. Maanake mnajua uongozi wa soka la Tanzania ni wenu lolote mnalotaka lazima wafanye. Ingekuwa ni swala la ghafla sawa.

Kule Sudan mlipoenda, mlialikwa kwenye bonanza kwasababu hata nyie mliwaalika.

Dubai, mmenda kufanya nin wakati mnajua mna muda mchache kucheza mechi za ligi?
 
Tatizo ni kwamba mnaenda Dubai huku mkijua mnamechi tarehe 17. Maanake mnajua uongozi wa soka la Tanzania ni wenu lolote mnalotaka lazima wafanye. Ingekuwa ni swala la ghafla sawa...
Relax bro. Ni siku moja tu tena Mbeya City watapata muda zaidi wa kujiandaa!
 
MECHI ZA KIRAFIKI LEO
SIMBA VS AL DHAFRA YA DUBAI HUKO

YANGA VS MBUNI YA MBAGALA..
Habibi come to Dubai.

1672155384140.jpg
 
Hii ni bahati nzuri Kwa Yanga, kwakua Simba hawajui wanafanyanini Kwa wakati gani.
 
Povuuuuuuuu jingiii, suguliaa pumbu hizo sio zinababukaaa km andazi la mama hassan pale Kibo. Lol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂 😂 😂 😂 Mlongo mlongo chondiiiiiiiiiiiiii..!!
 
Kuna msimu siukumbuki, Azam Fc alienda kucheza bonanza la kirafiki Zambia huku ligi ikiendelea.

Tunajitahidi kuoenda soka letu la nyumbani lakini wapiiii tunaangushwa na uswahili wa viongozi wa soka letu
 
Mechi haiwezi kuhairishwa bila timu pinzani kuafiki. TFF wajibu wao ni kutekeleza maakikiano.
 
Ni mim sijaelewa au? Yaan mechi ya ligi inapigwa kalenda kupisha mechi ya kirafiki
 
TFF wameghairisha ratiba na mbeya city wamekuwa wazuri ila katika suala la fei Toto mnawaponda mnaliita shirikisho la kihuni ...mbumbumbu hawaelewi nini wanataka
 
Back
Top Bottom