Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Vyura tulieni... mmezidi kukoroma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha makasiriko kama huna pesa nenda kafanyie mazoezi kinesi au mwembe yangaWanaahirisha mechi kwa sababu ya umbumbumbu wa timu moja tu, inayoenda kufanya pre season nje ya nchi, katikati ya msimu!!
Sijui wanasahau au akili zao finyu. Lakini mbona ni mababa wazima au macho yangu . Double standardWewe taahira umesahau kuwa TFF waliwagomea YANGA wakiwa Tunisia wakakataa ombi lao la kuahirisha mechi Yao dhidi ya Kagera sugar?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Lia taratibuu mwayaaa, kelele za nini?
Ukimaliza kulia, futa machozi afu kunywa maji na upumzikeee.
Poleeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inacheza na CSKA ujue, sio Friends RangersHilo mbona lilikuwa wazi mkuu, Hawa tff huwa wanatafuta sababu ili kuipendelea timu yao mbovu ya Simba
Nje ya ushabiki wewe unaona ni sahihi,, mechi ina hailishwa kisa timu inajiandaa na mazoezi..Kuna vyura vitakuja kupiga kelele hapa very soon
kama ni la caf hilo labda wakachonge sidoHata mkipangiwa ratiba nzuri kiasi gani, ukweli ni kuwa liwake jua inyeshe mvua ubingwa wa kombe lolote humu nchini sahauni kabisaa.. Labda jitahidi mchukie kombe la caf