Hatimaye memba pendwa wa jf gentamycine aanza kupevuka kiakili.

Hatimaye memba pendwa wa jf gentamycine aanza kupevuka kiakili.

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Memba anayependwa na wakati huohuo uonewa wivu GENTAMYCINE ameanza kupevuka kiakili maana nyuzi anazoweka jf sasahivi ni konki na fikirishi kinoma.
Nachukua nafasi hii kumpongeza kwa kuanza kujua kiakili.
Heko popoma letu. GENTAMYCINE
 
Nimeamini GENTAMYCINE wakati mwingine anaonewa bure siamini hata Mimi naonekana niyeye dah 🤣🤣🤣🤣
 
GENTAMYCINE anaonewa Sana nimegundua Ila pia tukiri tu kwamba ni Kati ya Wana jf wenye akili Sana Kama anavyojiita mult talented ni kweli maana utamkuta kwenye michezo uchumi mastori ya town ujasusi usalama connection nk kiufupi genta anachukiwa kutokana na karama zake alizojaaliwa na Maulana.
 
Back
Top Bottom