3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Ha Ha ha umeinasa kumbe ni yeye mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha Ha Ha Ha kudanganya inabidi uwe makiniDelete kabla hawajaona wengi hapo umejionyesha kua wewe ndo genta[emoji1][emoji1]
Kwani alikuwa hajitambui siku za nyuma?Memba anayependwa na wakati huohuo uonewa wivu GENTAMYCINE ameanza kupevuka kiakili maana nyuzi anazoweka jf sasahivi ni konki na fikirishi kinoma.
Nachukua nafasi hii kumpongeza kwa kuanza kujua kiakili.
Heko popoma letu. GENTAMYCINE
Mtakapokuwa na Akili na kuacha Upumbavu wenu wa Kutukuka ndipo mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa ID's zote zinazoniongelea kwa Wema si zangu ila ni Utashi tu wa Watu ( Members )Yah naona unaji-promot kwa id yako ingine!
Tafadhali soma post yangu #26 ina Majibu ya Kutosha tu kwa Mpumbavu Mwandamizi wa aina yako sawa?Lipia tangazo hili Genta usituchukulie poa
Tafadhali soma post yangu #26 ina Majibu ya Kutosha tu kwa Mpumbavu Mwandamizi wa aina yako sawa?Ha Ha Ha Ha kudanganya inabidi uwe makini
Tafadhali soma post yangu #26 ina Majibu ya Kutosha tu kwa Mpumbavu Mwandamizi wa aina yako sawa?Member aliyesema ukuaji unaendelea ameniacha hoi kweri-kweri 😆😆
Tafadhali soma post yangu #26 ina Majibu ya Kutosha tu kwa Mpumbavu Mwandamizi wa aina yako sawa?Superbug aki-log out,
GENTAMYCINE ana-log in ku comment!
Mtaona sasa hivi!
[emoji12][emoji23]
Jitahidi uwe na simu mbili. [emoji41]
[emoji23][emoji23]huyu ndio kapevuka?Mtakapokuwa na Akili na kuacha Upumbavu wenu wa Kutukuka ndipo mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa ID's zote zinazoniongelea kwa Wema si zangu ila ni Utashi tu wa Watu ( Members )
Huu Uzi ungeanzishwa Kunisema au Kunishambulia kama ambavyo Wewe na Wapumbavu Wenzako wengi hapa huwa mnataka ( mnapenda ) wala usingekimbilia kusema au kuhisi kuwa hii ID ni yangu na huu Uzi nimejianzishia Mwenyewe.
Siwalaumu Wapumbavu nyie ( wakiongozwa nawe Kinara wao ) kwa Upuuzi huu bali namlaumu mno Mwenyezi Mungu ni kwanini 'Kanibariki' na 'Vipawa' vingi mpaka 'Natural Charm' hii ambayo Kwenu wengi ni 'Chukizo' halafu nyie amewaacha tu hivyo hivyo.
Niliwahi kusema huko nyuma na kupitia Kwako tena Mpumbavu Wewe narudia kwa kusema kwakuwa GENTAMYCINE kutwa tu nahusishwa na ID's mbalimbali hapa JamiiForums basi Kuwarahisishieni Kazi fanyeni tu kuwa ID's zote hapa ni zangu sawa?
Kama nina Mvuto wa 'Kiuwasilishaji' na 'Kiuchangiaji' niwapo hapa JamiiForums nikipendwa na 'Members' mbalimbali ( tena wenye Akili ) ni Dhambi?
Na ungekuwa JF Member mzoefu hapa wala usingesema kuwa hii ID ya Superbug ni Mimi GENTAMYCINE kwani kama kuna Watu ambao huwa 'nagombana' nao hapa katika Mijadala mbalimbali ni Yeye na Mifano ipo hai katika 'threads' zangu za nyuma sasa inawezekana vipi huyu huyu ninayegombana nae Kutwa hapa leo kaanzisha Uzi wa Kunihusu halafu mnasema hiyo ID ni yangu?
Pumbavu....!!!!
Cc: Cambodian, 3 Angels message, Kijana wa jana, ID Fake
Tafadhali soma post yangu #26 ina Majibu ya Kutosha tu kwa Mpumbavu Mwandamizi wa aina yako sawa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkono mmoja weka juu tunacheza hivi!!!! Hivi!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu chaajabu alivyoanza kujibu mtagiwa muanzishaji kapotea[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akaa ghwa kukajha hujhu! Une mmenye pakuti,LI-JHANGA hili!Msichokijua GENTAMYCINE ni mnyyakyusa
Another Fool...!!![emoji23][emoji23]huyu ndio kapevuka?
Binafsi, huwa napenda aina ya uandishi wake, bila kujali anaelezea nini. Nadhani angekuwa anaandika vitabu, nisingekuwa nachoka kuvisoma! Napata maneno mengi mapya!Mtakapokuwa na Akili na kuacha Upumbavu wenu wa Kutukuka ndipo mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa ID's zote zinazoniongelea kwa Wema si zangu ila ni Utashi tu wa Watu ( Members )
Huu Uzi ungeanzishwa Kunisema au Kunishambulia kama ambavyo Wewe na Wapumbavu Wenzako wengi hapa huwa mnataka ( mnapenda ) wala usingekimbilia kusema au kuhisi kuwa hii ID ni yangu na huu Uzi nimejianzishia Mwenyewe.
Siwalaumu Wapumbavu nyie ( wakiongozwa nawe Kinara wao ) kwa Upuuzi huu bali namlaumu mno Mwenyezi Mungu ni kwanini 'Kanibariki' na 'Vipawa' vingi mpaka 'Natural Charm' hii ambayo Kwenu wengi ni 'Chukizo' halafu nyie amewaacha tu hivyo hivyo.
Niliwahi kusema huko nyuma na kupitia Kwako tena Mpumbavu Wewe narudia kwa kusema kwakuwa GENTAMYCINE kutwa tu nahusishwa na ID's mbalimbali hapa JamiiForums basi Kuwarahisishieni Kazi fanyeni tu kuwa ID's zote hapa ni zangu sawa?
Kama nina Mvuto wa 'Kiuwasilishaji' na 'Kiuchangiaji' niwapo hapa JamiiForums nikipendwa na 'Members' mbalimbali ( tena wenye Akili ) ni Dhambi?
Na ungekuwa JF Member mzoefu hapa wala usingesema kuwa hii ID ya Superbug ni Mimi GENTAMYCINE kwani kama kuna Watu ambao huwa 'nagombana' nao hapa katika Mijadala mbalimbali ni Yeye na Mifano ipo hai katika 'threads' zangu za nyuma sasa inawezekana vipi huyu huyu ninayegombana nae Kutwa hapa leo kaanzisha Uzi wa Kunihusu halafu mnasema hiyo ID ni yangu?
Pumbavu....!!!!
Cc: Cambodian, 3 Angels message, Kijana wa jana, ID Fake, kelphin kepph
Huyu ni popoma tuBinafsi, huwa napenda aina ya uandishi wake, bila kujali anaelezea nini. Nadhani angekuwa anaandika vitabu, nisingekuwa nachoka kuvisoma! Napata maneno mengi mapya!
Ambaye huachi Kumfuatilia hapa JamiiForums 24/7.
Umejipigia promoMemba anayependwa na wakati huohuo uonewa wivu GENTAMYCINE ameanza kupevuka kiakili maana nyuzi anazoweka jf sasahivi ni konki na fikirishi kinoma.
Nachukua nafasi hii kumpongeza kwa kuanza kujua kiakili.
Heko popoma letu. GENTAMYCINE
Mara useme umebarikiwa' mara matusi. Pumbavu kabisa.Tafadhali soma post yangu #26 ina Majibu ya Kutosha tu kwa Mpumbavu Mwandamizi wa aina yako sawa?