GENTAMYCINE anaonewa Sana nimegundua Ila pia tukiri tu kwamba ni Kati ya Wana jf wenye akili Sana Kama anavyojiita mult talented ni kweli maana utamkuta kwenye michezo uchumi mastori ya town ujasusi usalama connection nk kiufupi genta anachukiwa kutokana na karama zake alizojaaliwa na Maulana.