Hatimaye Meya Jerry Silaa anunua gari la ndoto yake

Hatimaye Meya Jerry Silaa anunua gari la ndoto yake

Huyo meya ni model? Maana hadi nimemfananisha na Lee Min Hoo wa Korea!
 
Anaukwasi wakufa mtu huyo amejenga kwao kama ukuta waikulu unafiki uwo ata mungu hato mbariki
 
Anhaa alikua akitumia gari la serikal kwa matumizi binafs,hapo tume ya maadili inahusika
 
Mbona hii namba ya gari ni ya siku nying? CSX huenda ya mwezi wa saba mwaka jana sio mwaka huu. Tangu mwaka jana mwishoni namaba zilishaenda D...
Sidhani kama ni tatizo sana, anaweza kuwa amenunua kwa mtu au ni Gari iliyokaa sana Yadi.
 
Bora hata Jerry amejitahidi.
Mimi diwani wangu wa Kata ya Engutoto Ndg.Elibariki Malley hana hata baiskeli.

Jerry Silaa hana gari??? Kidding me, mkuu tunamjua Jerry Silaa, hii hapa ni kututukana watanzania...naamini hata wewe unamjua vizuri...na ukwasi wake unaujua...hebu acheni utani..
 
  • Thanks
Reactions: amu
Txx CSX!!??? Ukisoma ujumbe utadhani ni tukio la leo April 2015, lakini kwa namba hizo gari limesajiliwa mwaka 2013 mwishoni!
 
Asituletee usanii. Kwani wale wanaojenga bonde la msimbazi bila kujali kama mto utaleta mafuriko wanajenga bure? eti anajidai hana pesa..aaghhh.
 
Dogo ungetumia njia nyingine...siku hizi watu wameamka ...watu wako macho,ngumu kuwayeyusha...au ungenistua nikupe teknik nyingine...
 
huyu ndiye kiongozi tunayemtaka tanzania. anafaa hata kuwa rais au spika wa bunge la jamhuri wa tanzania kuanzia oct.2015
 
Inabidi tumkatie INVOICE kwa shughuli zote binafsi ambazo alizifanya kwa kutumia gari la serikali.......hahahahahaa mkimsifia sana mtu mwisho mnaharibia sasa.
 
Dogo ungetumia njia nyingine...siku hizi watu wameamka ...watu wako macho,ngumu kuwayeyusha...au ungenistua nikupe teknik nyingine...

jerry anaishi maisha ya kawaida sana na anaongea na kila mtu na anaguswa na homa za watanzania na wana ukonga kwa ujumla
 
Back
Top Bottom