tumejirogawatanzania tumelogwa na nani jamani??
Mbona hii namba ya gari ni ya siku nying? CSX huenda ya mwezi wa saba mwaka jana sio mwaka huu. Tangu mwaka jana mwishoni namaba zilishaenda D...
Nilikuwa nataka kuuliza swali hili pia...
Sidhani kama ni tatizo sana, anaweza kuwa amenunua kwa mtu au ni Gari iliyokaa sana Yadi.Mbona hii namba ya gari ni ya siku nying? CSX huenda ya mwezi wa saba mwaka jana sio mwaka huu. Tangu mwaka jana mwishoni namaba zilishaenda D...
Bora hata Jerry amejitahidi.
Mimi diwani wangu wa Kata ya Engutoto Ndg.Elibariki Malley hana hata baiskeli.
Mwizi tu,anazuga huyo dogo
Mbona hii namba ya gari ni ya siku nying? CSX huenda ya mwezi wa saba mwaka jana sio mwaka huu. Tangu mwaka jana mwishoni namaba zilishaenda D...
Kweli mzugaji,si unajua mwaka wa uchaguzi????
Dogo ungetumia njia nyingine...siku hizi watu wameamka ...watu wako macho,ngumu kuwayeyusha...au ungenistua nikupe teknik nyingine...