Hatimaye Meya Jerry Silaa anunua gari la ndoto yake

Hayatuhusu.....

Hayo ni mambo yake binafsi

Anajishaua tu haka kajery anamagari ya kifahari tokea 2008 nlikuwa nadate na rafiki yake anakaa Uingereza akija bongo anatumia gari za jery.
Na magari haswa yalikuwa
 
Anadhani watu viazi...tutamwamini tu


Anajishaua tu haka kajery anamagari ya kifahari tokea 2008 nlikuwa nadate na rafiki yake anakaa Uingereza akija bongo anatumia gari za jery.
Na magari haswa yalikuwa
 
Reactions: amu

Bado sijaona mantiki ya hii hoja. Huyu ni Meya na pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM - kile kikundi ndani ya CCM chenye Ushawishi Mkubwa katika Mustakabali wa Nchi.Kwa mtu wa hadhi yake na ushawishi wake IST 'is nothing'..
 
Hii kitu ni ya siku nyingi, naona ss inapewa promo, ilianzia kwenye mablog ss ameileta huku. Cheap politics
 
Mtu mzima haambiwi muongo.!
Na dada salome wa kipindi cha ule wa kukatia kitambaa anampa nini mpaka ampe vya uvungu.! Shemeji ....
 
Hizi ni aina ya siasa dhaifu Sana,wanapretend maadili mema mbele ya hadhara laiti tungejua nyuma ya pazia ingekuwa hatari
 
Hii tamthilia ni ndefu sana haiishi kama isidingo
 
Bora hata Jerry amejitahidi.
Mimi diwani wangu wa Kata ya Engutoto Ndg.Elibariki Malley hana hata baiskeli.
Basi sio fisadi,kama hapo nyuma hakuwa na uwezo wa kununua gari leo hii kaupataje?
 
kweli nimeamini kuwa hata kuwa kiongozi ni kuwa superstar:lol:
 
Kasotea IST miaka mitano!!!! Mshahara wake kwa mwenzi akiwa kama meya wa manispaa ni 4,300,000!!! Posho kwa kila kikao ni shilingi 160,000.!!!!!!! Amekuwa meya zaidi ya miaka miwili.
 
Reactions: amu
Alafu kwani huyu jamaa na celebrities?
 
Mods wa JF hawajafanya makosa kuuleta uzi huu kwenye hili jukwaa la "WASANII"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…