Hatimaye 'mid-life crisis' imenifikia

Hatimaye 'mid-life crisis' imenifikia

Usipanic mkuu. Pia fikiria, kila mtu akimiliki gari maisha yangekuwaje? Kila mtu akijenga nyumba maisha yangekuwaje? uhalisia kuna vitu unaambiwa kama matarajio ila sio wote watakaofikia, ridhika na kile Mungu alichokujalia alafu panga mambo yako pasipo na stress.
Sawa kiongozi
 
Sawa
Na hii mitandao imeharibu zaidi. Unakuta vitoto kama kina Niffer vinasukuma ndinga za mamilioni... sema kila mtu na maisha yake hatuwezi kuwa sawa. Shikilia ulicho nacho kwa wivu mkubwa.
Hakika eti niffer mdogo wangu ananizidi net worth kweli?
 
Sahihi, kuna wakati unapigika kisawasawa. Inafika kipindi huoni pa kushika ni kama mbele kuna ukuta. Ila unajikuta umetoboa kibishi mpaka unashanga imewezekanaje

Na hapo sio mwisho wa hardship mamaé picha linaendelea hivyo hivyo, kupumzika kaburini kmmmk
Ni hatari sana mkuu kuna muda hali inakua ngumu mno huoni mbele. Huwa inanitokeaga hasa nikikaribia kupata pesa ila navuka kibishi. Life ni mpambano mkali sana ukiwa dhaifu utakimbia pambano mapema sana.
 
Kawaida mkuu. Mimi kinachonisaidia ni kuamua kumtazama Babu wa Loliondo kama role model wangu. Alipiga hela mingi dakika za jioni sana.. si unajua bora uishi hata miaka miwili ya raha kabla hujaaga dunia?
Hakika, life is a mystery na kuja kuelewa maana halisi mpaka uoitie mengi sana
 
Sawa

Hakika eti niffer mdogo wangu ananizidi net worth kweli?
Kujilinganisha na Niffer unajikosea sana. Hapa duniani usiishi kwa kujilinganisha, otherwise utakufa kwa pressure, tutakuzika kabla ya siku zako. Wazee wetu hawakuwa na hayomagari na maisha ya kifahari ila waliishi kwa afya na miaka mingi ya maisha. Kizazi hiki tunapapatikia mali alafu tunakufa hata hujafikisha 70 yrs. Sulemani aliandika kuwa haya yote ni ubatili mtupu.
Waza mambo makubwa, uwe na mipango yako lakini hakikisha hauteketezi afya yako na kukatisha maisha yako kwa sababu tuu ya tamaa. Leo hii tunaishi kama broiler, kijana mdogo tuu unaambiwa ana pressure, kisukari, haoni kashavalishwa miwani hata hujiulizi kwa nini
 
Mkuu labda usiwe binadamu ndo hutakuwa na tamaa. Binadamu aliyekamilika lazima awe na tamaa na ubinafsi. Hata hao wazee wetu walijitahidi sana kuwa na mifugo na mashamba. Kina Niffer ni kama vichocheo vya kufanya upambane zaidi. Kimsingi ni kuji-control usivuke mipaka hadi kuathiri afya yako.
 
Hakika mkuu, wapuuzi wanasemaga tu ila wanakuwaga na role model wao
 
Back
Top Bottom