Hatimaye 'mid-life crisis' imenifikia

Ishi kwa uchaguzi wako na jinsi akili yako inavyokutuma,wote tukijenga nani atapanga majumba.
(ISHI KAMA WAHINDI)
Juzi nilikuwa naongea na mzee mmoja muhindi 70s akaniambia kamnunulia kijana wake apartment Masaki $350,000. Yeye ana nyumba mbili Masaki moja anaishi napajua, nyingine kapamgisha ubalozi wanamlipa $7000 kwa mwezi. Nina rafiki yangu muhindi tumekuwa nae, kwao Masaki kuna nyumba 4 ndani ya compound yeye anaishi moja,kaka yake moja na moja wamepangisha mzungu na moja ya wazazi,hizi nyumba wakati tunakiwa zilikuwa mbili tu ila zimeongezeka kadiri walivyokuwa wanakua. Pia Masaki na Oysterbay nawaona wahindi wengi tu wanamiliki nyumba wanaishi. Kuna wahindi wengi sana Mikocheni wanaishi kwenye nyumba zao. Upanga maghorofa mengi yanajengwa na wahindi wananunua wenyewe wanaishi. Ninachotakq kusema hii kauli ya kujipa moyo tuishi kwa kupanga kama wahindi imepitwa na wakati.
 
Next time ukikutana na mtu ambaye ana uzoefu na ana umri kukuzidi 15+ yrs.
Muulize. Anahisi angerudisha muda nyuma. Miaka 10 au zaidi. Nn angefanya tofauti?.

Utajifunza mengi sana.
Hakika, na nimejifunza mengi sana.

Kuna jamaa pia alikuwa na mzee mwenye hela sana, ila alikuwa kazaliwa na mwanamke wa nje, so akawa anaishi na mama wa kambo.

Alichezea shule, akajiingiza kwenye ngono nzembe na wanawake lukuki, akapelekwa chuo kwa magen do akashindwa, akatafutiwa biashara akashindwa.

Yaani maisha yake yakawa ya kuiba vya nyumbani, mwishowe akafukuzwa,

Kwa tabia yake kumbe alikuwa kasha athirika na ukimwi, na walijua hilo.

Hajafa mpaka leo, ila anamajuto sana
 
Kiukweli kwenye nchi kama zakwetu huku, suala la kufanikiwa ni bahati tu. Sio eti kupambana, au kwamba mtu asiefanikiwa kachezea ujana nk. Kuna watu wanapambana vibaya mno ila ndio hivyo mifumo na mazingira yanakataa.
 
Unaweza ukapata vyote hivyo lakini life ikawa full depression, muhimu afya na amani ya moyo wako
Na kama huridhiki hata uwe na mabilioni bado utaishi kwa stress na mawazo. Kuna hawa jamaa zetu kabila maarufu tajiri. Unaweza kumkuta ni tajiri kweli kweli ila ana msongo wa mawazo,chuki,mkorofi yaani kiujumla hana amani kabisa.
 
Unadhani kila mtu ana definition moja ya mafanio?

Unadhani kila mtu anawinda materials things kwenye maisha ili aonekane kafanikiwa?

Kama una mtazamo huo pole sana na siku zote utajiona upo useless!
Sasa, unavyosema Usijilinganishe na mtu unamaanisha nini

Naomba constructive logic around that..

Maana maisha yenyewe unaishi base d on how walio kutangulia wali ishi, that's why kuna culture, language na career.

Lazima on any way uishi kwa kuji compare na wengine, hata kama unadhani wewe ni wa tofauti
 
Kipindi hiki ndio watu wanapiga hela kuliko kipindi chochote. Utajiri wa mtu mmoja mmoja upo nje nje ila nchi kama nchi inazidi kuwa masikini.
Sasa uamuzi ni wako beat them or join them.
 
So on point, the whole experience is inevitable. Kila kitu kitakuja na kufunguka when the odds are in alignment with you
 
Juzi hapo wewe ndo ulikuja na uzi kuwa watanzania ambao hatuna kipato wala elimu kwamba sisi ni wamatumbi, vipi hali yako kwa sasa, una lipi la kuongea ndugu mkurugenzi wa makampuni tajiri? πŸ˜„πŸ˜„
You don't have to believe anything you see on social media.

Hata demu wa Facebook ni mkali ila ukisha mwona hata jogoo anaweza asiwike.

Anyways tuache drama za kuongelea watu, bali hoja
 
Naona Shetani kisha kugeuka sasa.


 
Kina nani hao waliokuambia hivyo?
Je walikwambia kua hivyo vitu utavipataje?

Au wewe ulitegemea baada ya kuambiwa hivyo tu,basi hivyo vitu ukifika umri huo,utavikuta tu sehemu vinakungojea?
Kwani wewe ulivyokua kijana mdogo hukuwa na ideal self ya miaka kadhaa mbele?

Si kutegemea, ila nilijua kuwa by that age things would be as they said.

Unapenda sana kujipa credit as if you know everything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…