Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Naamini kuwa dini ni kama mtego tu,

Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua.

Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi.

Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha.

Watu wako so brainwashed mpaka wamesahau, kuwa imani sio uhalisia, ni driving force ya ku maximize feelings.

Kwamba mtu anaye amini Kashindwa maisha, lazima maisha yamshinde maana mwili unakuwa derived more by thoughts and feelings.

Toka niache kwenda kanisani, naona sina stress tena, ni najua kuwa nikifeli kuna mahala nimezingua, nitarudi katika meditation 🧘‍♂️ na kurudi katika cause ya tatizo. Najua uponyaji uko ndani yangu, hakuna kiumbe kingine nje yangu ambayo ina affect maisha yangu.

Je, mnaokwenda kanisani huwa mnakwenda kumowmba nani, maana Mungu mwenyewe anasema yuko ndani yenu, ni alpha na omega.

Tungekuwa tunakwenda kanisani alafu hatufi basi, ningelikuwa na wahi seat ya mbele kabisa, ila sisi ni kama wanyama tu... Unazaliwa, unaishi, una zeeka na kudhoofika alafu unakufa.

Sasa kwanini ujipe umuhimu wa kudhani kuwa wewe na mnyama kuna tofauti?

Msije kusema nimechochea au kudhihaki watu, nimeongea mawazo yangu..

Jumapili njema.
 
Sawa
downloadfile-10.png
 
ok. :1Head:
 
Back
Top Bottom