Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

You are going to go mad soon or later if you don't ground yourself in the realities of the world.

Be happy with what you believe, but do not try to save the world.

Your mind seems to be either fructured or tormented in some way. You have ventured into a journey that you are unprepared for.

Cc: The Icebreaker Tlaatlaah loose Nut dronedrake binti kiziwi Dr. Mariposa Lamomy Seran Kalpana ephen_ Harmful Ayatollah the Bird Supapawa Mwaka wa Mbele
Kumbe Bichwa unajua kimomno nama hii ! 😂

Ninavyo reply naona umeTag watu wengi sana ila kwenye post yako sioni yako , umepigaje hapo ?
 
Validation gani katika kwenda kuomba kitu ambacho basically hakipo?
Ni kama umemuacha demu lakini bado unafuatilia anataka na nani anaishia vipi kwa sasa yupo na nani kwenye story zako bado unamtaja taja

We bado hujaachilia akili Yako bado ipo huko na Hilo litakutesa zaidi kuliko ambavyo ulikua unaenda huko
 
Mleta mada inategemea ulikuwa anasali wapi maana ata maandiko huna pia kama alikuwa anasali sehemu sahihi basi ulikuwa unasali kimtego Yani ulifikiri mfano utatajirika,utapata michepuko, utakwepa umaskini nk

Lakini pia mleta mada unajifunza kuwa atheist ingawa atheism inahitaji watu makini waliotekwa na SHETANI.
Suluhisho
Naamini mleta mada hujaacha tu kwenda kanisani pia umemwacha Mungu, kwahiyo mrudie Mungu ata usipoenda kanisani mwenendo wako utakuwa Bora kwa kumrudia Mungu katika KRISTO YESU.Mfano Mimi kutokana na aina ya kazi nilizonazo Nina mda siendi kanisani lakini ata mijadala yangu inanitambulisha ni mtu wa kanisani so mrudie Mungu au mpokee maana kanisani ata makaaba,waimba nyimbo za bongo wakiwa ktk video za nusu uchi, mafisadi,watekaji kadhaa huenda uko so unaweza kuwa kanisani na Bado hujamrudia Mungu.asante
 
Naamini kuwa dini ni kama mtego tu,

Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua.

Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi.

Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha.

Watu wako so brainwashed mpaka wamesahau, kuwa imani sio uhalisia, ni driving force ya ku maximize feelings.

Kwamba mtu anaye amini Kashindwa maisha, lazima maisha yamshinde maana mwili unakuwa derived more by thoughts and feelings.

Toka niache kwenda kanisani, naona sina stress tena, ni najua kuwa nikifeli kuna mahala nimezingua, nitarudi katika meditation 🧘‍♂️ na kurudi katika cause ya tatizo. Najua uponyaji uko ndani yangu, hakuna kiumbe kingine nje yangu ambayo ina affect maisha yangu.

Je, mnaokwenda kanisani huwa mnakwenda kumowmba nani, maana Mungu mwenyewe anasema yuko ndani yenu, ni alpha na omega.

Tungekuwa tunakwenda kanisani alafu hatufi basi, ningelikuwa na wahi seat ya mbele kabisa, ila sisi ni kama wanyama tu... Unazaliwa, unaishi, una zeeka na kudhoofika alafu unakufa.

Sasa kwanini ujipe umuhimu wa kudhani kuwa wewe na mnyama kuna tofauti?

Msije kusema nimechochea au kudhihaki watu, nimeongea mawazo yangu..

Jumapili njema.
Hili bandiko lako lina contradictions nyingi ambazo, aidha ni umeandika kwa makusudi ili kuzua taharuki au hauna uelewa wa kutosha wa dini.
 
Naamini kuwa dini ni kama mtego tu,

Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua.

Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi.

Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha.

Watu wako so brainwashed mpaka wamesahau, kuwa imani sio uhalisia, ni driving force ya ku maximize feelings.

Kwamba mtu anaye amini Kashindwa maisha, lazima maisha yamshinde maana mwili unakuwa derived more by thoughts and feelings.

Toka niache kwenda kanisani, naona sina stress tena, ni najua kuwa nikifeli kuna mahala nimezingua, nitarudi katika meditation 🧘‍♂️ na kurudi katika cause ya tatizo. Najua uponyaji uko ndani yangu, hakuna kiumbe kingine nje yangu ambayo ina affect maisha yangu.

Je, mnaokwenda kanisani huwa mnakwenda kumowmba nani, maana Mungu mwenyewe anasema yuko ndani yenu, ni alpha na omega.

Tungekuwa tunakwenda kanisani alafu hatufi basi, ningelikuwa na wahi seat ya mbele kabisa, ila sisi ni kama wanyama tu... Unazaliwa, unaishi, una zeeka na kudhoofika alafu unakufa.

Sasa kwanini ujipe umuhimu wa kudhani kuwa wewe na mnyama kuna tofauti?

Msije kusema nimechochea au kudhihaki watu, nimeongea mawazo yangu..

Jumapili njema.
kongore mkuu jitahid kutoa sadaka tuu inatosha
 
You are going to go mad soon or later if you don't ground yourself in the realities of the world.
It's you who is mad, maana you are just another cog in a mashine following orders you didn't create
Be happy with what you believe, but do not try to save the world.

Your mind seems to be either fructured or tormented in some way.

You have ventured into a journey that you are unprepared for. And that is very unfortunate.
Who told you that happiness is found in belief? Belief is just another cage to make you a slave.

People call crazy what they don't understand, so you need to think beyond the programs you thought were true.

Wake your ass up, and look past layers of conditions
 
Maamuzi ni ya kwako na madhara ya maamuzi yako yatakufuata pekee yako.
Hii ni miongoni mwa best qoutes ninayoitumia katika kufanya maamuzi yangu .

Kuna wakati mambo ya shule walimu Fulani walikuwa jau na kunifanya nichukie masomo Yao na shule , ila nikakaa kujiuliza nikifanya maamuzi ya kuchukia hayo masomo na shule yatakuwa maamuzi kwa ajili ya nani na madhara yatarudi kwa nani ? jibu nikapata Mimi ndio muathirika namba Moja wa kila uamuzi nitakaochukua kuhusu Mimi , hapo nikatuliza akili na kuchanga karata zangu vyema .

Hadi kwenye maisha sometimes nilitaka kukata tamaa kwenye jambo Fulani zuri , nikajiuliza swali Moja hayo ni kwa ajili ya nani na nani muathirika namba Moja ? jibu likaja ni Mimi , hapo nikafunga mkanda na kusonga mbele
 
Ni kama umemuacha demu lakini bado unafuatilia anataka na nani anaishia vipi kwa sasa yupo na nani kwenye story zako bado unamtaja taja

We bado hujaachilia akili Yako bado ipo huko na Hilo litakutesa zaidi kuliko ambavyo ulikua unaenda huko
Unaandika kujifurahisha?
 
Naamini kuwa dini ni kama mtego tu,

Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua.

Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi.

Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha.

Watu wako so brainwashed mpaka wamesahau, kuwa imani sio uhalisia, ni driving force ya ku maximize feelings.

Kwamba mtu anaye amini Kashindwa maisha, lazima maisha yamshinde maana mwili unakuwa derived more by thoughts and feelings.

Toka niache kwenda kanisani, naona sina stress tena, ni najua kuwa nikifeli kuna mahala nimezingua, nitarudi katika meditation 🧘‍♂️ na kurudi katika cause ya tatizo. Najua uponyaji uko ndani yangu, hakuna kiumbe kingine nje yangu ambayo ina affect maisha yangu.

Je, mnaokwenda kanisani huwa mnakwenda kumowmba nani, maana Mungu mwenyewe anasema yuko ndani yenu, ni alpha na omega.

Tungekuwa tunakwenda kanisani alafu hatufi basi, ningelikuwa na wahi seat ya mbele kabisa, ila sisi ni kama wanyama tu... Unazaliwa, unaishi, una zeeka na kudhoofika alafu unakufa.

Sasa kwanini ujipe umuhimu wa kudhani kuwa wewe na mnyama kuna tofauti?

Msije kusema nimechochea au kudhihaki watu, nimeongea mawazo yangu..

Jumapili njema.
Kanisani tunakwenda kumshukuru Kumwabudu na kumuomba Mungu
 
Back
Top Bottom