camp konzi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 581
- 1,122
watakao kuelewa ni wachache sana
If you have faith in God nothing bad hapen to you so easlyWhy do other life forms don't believe in God
Hao wengine ni uamuzi waoWhy do other life forms don't believe in God
😄😄We si umegoma kuja kanisaniView attachment 3692773
Kanisani AIEe hv vinu vinapatikana kanisa gan mkuu?
Siwezi kuamini katika kitu kisicho kuwa na effect yoyote katika maisha yanguNi anayeoneshwa katika biblia Yohana 3:26 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Mwanawe pekee hapo ni YESU KRISTO
Maana yake unatakiwa umwamini huyo Mungu Katika YESU KRISTO yaani Mungu kupitia kwa YESU KRISTO
Biblia Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Biblia Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Amegoma kuja church anakosa kuiona mimbari na mabalasi yaliyojalizwa mvinyo.Shauri yake!We si umegoma kuja kanisaniView attachment 3692773
Unaposema zamani unakua una maanisha muda gani uliopita/Lini?Nimeacha kuisoma toka zamani