aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,724
- 24,474
Kwahiyo ulisema hiyo emoji haipatikani popote zaidi ya kwenye PC mkuu 😁Hayo ni matakwa yako![]()
Kwahiyo ulisema hiyo emoji haipatikani popote zaidi ya kwenye PC mkuu 😁Hayo ni matakwa yako![]()
Utaelewa tu usiofuUkiwa na maana gani?
Bado unaitafuta mkuu?Kwahiyo ulisema hiyo emoji haipatikani popote zaidi ya kwenye PC mkuu 😁

Pale unapoihisi nafsi ina furaha.You don't know my inner state so stop speculating...
You can be delusional and happy but it's just like tricking your own insanity to make you sane.
Furaha, inapatikana katika dini?
Ile sehemu ya kumi sasa itumie, achana na mambo ya mbinguni na motoni. Ondoa hofu uwe huru. Mungu wako anatokana na jadi yako. Acha wayahudi na mambo yao, hayakuhusu.Naamini kuwa dini ni kama mtego tu,
Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua.
Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi.
Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha.
Watu wako so brainwashed mpaka wamesahau, kuwa imani sio uhalisia, ni driving force ya ku maximize feelings.
Kwamba mtu anaye amini Kashindwa maisha, lazima maisha yamshinde maana mwili unakuwa derived more by thoughts and feelings.
Toka niache kwenda kanisani, naona sina stress tena, ni najua kuwa nikifeli kuna mahala nimezingua, nitarudi katika meditation 🧘♂️ na kurudi katika cause ya tatizo. Najua uponyaji uko ndani yangu, hakuna kiumbe kingine nje yangu ambayo ina affect maisha yangu.
Je, mnaokwenda kanisani huwa mnakwenda kumowmba nani, maana Mungu mwenyewe anasema yuko ndani yenu, ni alpha na omega.
Tungekuwa tunakwenda kanisani alafu hatufi basi, ningelikuwa na wahi seat ya mbele kabisa, ila sisi ni kama wanyama tu... Unazaliwa, unaishi, una zeeka na kudhoofika alafu unakufa.
Sasa kwanini ujipe umuhimu wa kudhani kuwa wewe na mnyama kuna tofauti?
Msije kusema nimechochea au kudhihaki watu, nimeongea mawazo yangu..
Jumapili njema.
Maybe but you have to note that yours are too meaningless to be compared to God's conversationsI'm over those meaningless conversations
Neno "bar" lina maana nyingi.Hapo limemaanisha nini?
Ndo mlidanganywa hivyo?Unaposema kuwa tangu uache kanisani maisha yako yamekuwa mazuri, kwa fikra zako, wote wanaoenda kanisani, maisha yao yamekuwa mabaya?
Wanaoenda kanisani, wanatimiza agizo la Kristo: kila palipo wawili watatu, wamekusanyika kwa jina langu, mimi nipo katikati yao.
Jambo jema ni kuwa Mungu amempa mwanadamu uhuru wa kumtumikia. Siyo kila asiyefika Kanisani, maana yake hamtumikii Mungu.
Ukimjua Mungu katika KRISTO Yesu ndipo utaelewaWeka maelezo yenye mantiki iliyo nyooka
Muasi una maneno ya jeuri sana.It's all about timings! Muda utaongea.Ndo mlidanganywa hivyo?
Kinacho wakimutanisha watu ni hadhara yenye kuwafanya wawe pamoja, dini nikiwemo. Ila huwezi kusema kuna Mungu pale, pale kuna agenda tu za kuwafanya wapate cha kukutania
RETIRED HOOEEESSS!!!We si umegoma kuja kanisaniView attachment 3692773
Na ndicho kinacho nifanya nione dini ni utapeli wa hali ya juu. Bora wa kina Elon musk wa najifurahisha kutengeneza gari zinazo paa kuliko wanaokesha kulia lia makanisaniIla sadaka kumtajirisha mtu binafsi kwa baadhi ya madhehebu aisee inafikirisha sana!
Binadam ajiona keki sana kuliko viumbe wengine ndio maana kajitengenezea nadharia nyingi sana akihisi anapaswa kuishi milele....ukifa umekufa ndugu.
Bila shaka Kuna njia nyingi za kumjua Mungu si lazima kupitia au katika Yesu.Ukimjua Mungu katika KRISTO Yesu ndipo utaelewa
Bearing divine truth.God's conversations? How sure are you it's God conversing?