Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

Naamini kuwa dini ni kama mtego tu,

Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua.

Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi.

Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha.

Watu wako so brainwashed mpaka wamesahau, kuwa imani sio uhalisia, ni driving force ya ku maximize feelings.

Kwamba mtu anaye amini Kashindwa maisha, lazima maisha yamshinde maana mwili unakuwa derived more by thoughts and feelings.

Toka niache kwenda kanisani, naona sina stress tena, ni najua kuwa nikifeli kuna mahala nimezingua, nitarudi katika meditation 🧘‍♂️ na kurudi katika cause ya tatizo. Najua uponyaji uko ndani yangu, hakuna kiumbe kingine nje yangu ambayo ina affect maisha yangu.

Je, mnaokwenda kanisani huwa mnakwenda kumowmba nani, maana Mungu mwenyewe anasema yuko ndani yenu, ni alpha na omega.

Tungekuwa tunakwenda kanisani alafu hatufi basi, ningelikuwa na wahi seat ya mbele kabisa, ila sisi ni kama wanyama tu... Unazaliwa, unaishi, una zeeka na kudhoofika alafu unakufa.

Sasa kwanini ujipe umuhimu wa kudhani kuwa wewe na mnyama kuna tofauti?

Msije kusema nimechochea au kudhihaki watu, nimeongea mawazo yangu..

Jumapili njema.
Ni sehem ya kutengeneza connection na maadiri ndo kaz kubwa
 
WATANZANIA WANAPITWA NA MAMBO MENGI SABABU YA KUJIFUNGIA.JITU LIMEZALIA MPAKA LIMEANZA KUOTA MVII HALIJAWAHI KUTOKA NJE YA BARA LA AFRIKA.LAZIMA UWE ZUZU NA UPELEKESHWE NA WAJANJA.

USHAMBA MZIGO.DINI ZOTE NI SCUM/ UTAPELI.NA NI MIFUMO YA WACHACHE ILIYOWEKWA ILI KUWEZA KUTAWALA VIZURI.

DINI ZOTE ZINAZUIA TAFAKURI NA MASWALI MAGUMU.HUU KAMA SIO UJUHA SI ULOFA.

YAANI MIMI UNIJIE NA SOGA ZA MIAKA ALFU KENA NA WEHU UJE UNIAMBIE USENGEREMA AMBAO WEWE MWENYEWE UKITULIA VIZURI UNAJUA FIKA HAKUNA KITU CHANGA LA MACHO.HUU SI UJINGA.

INAINGIA AKILINI MTU ALITOKA MISRI AKAANDA KAANANI KWA MIAKA AROBAINI HIVI HATA KAMA ALIKUWA WANATAMBAA NDIO MIAKA AROBAINI.HIZI SI NDOTO😄😄😄

WENGINE WANAKUJA NA SOGA ZA KUTEMBEA JUU YA MAJI.HIVI MNAAKILI KWELI???HIVYO VICHWA MNAUWAKIKA MMEBEBA UBONGO???
Alafu wanasema ukifa unapata mawinguni
 
📌DINI NI KWAAJILI YA WAPUMBAVU/WAVIVU WA KUFIKIRI WASIOPENDA KUTUMIA AKILI.WANAPENDA WAAMBUWE UONGO MTAMU.

📌ACHA MATAPELI WAJIPIGIE PESA ZA WAJINGA WASIOTAKA KUWAJIBIKA KWASABABU YA CHOICES THE MADE IN THEIR MISERABLE LIFE!!!
Hii dunia na viumbe yake kuna muda Wanachekesha sana.
 
📌DINI NI KWAAJILI YA WAPUMBAVU/WAVIVU WA KUFIKIRI WASIOPENDA KUTUMIA AKILI.WANAPENDA WAAMBUWE UONGO MTAMU.

📌ACHA MATAPELI WAJIPIGIE PESA ZA WAJINGA WASIOTAKA KUWAJIBIKA KWASABABU YA CHOICES THE MADE IN THEIR MISERABLE LIFE!!!
Wewe ni mpumbavu namba 1 maana naamini ulishatapeliwa unaleta machungu hapa.
Everything is driven by spiritual realm or was introduced by spiritual realm so if you have no ideas come I shall give you in the name of Jesus
 
karibu

KWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU.UNAJUA KUWA MAISHA YANA KUPATA NA KUKOSA,MAISHA YANA AFYA NA MAGONJWA,MAISHA YANA KUWA MASKINI NA KUWA TAJIRI.

SASA VIAZI MBATATA WAO WANAJUA MAISHA NI BAHATI😄😄😄WANAISHI KWA KUBANGAIZA WAKITEGEMEA KUBADILI DESTINE YAO KWA KUOMBEWA.FRIENDS AND ENEMIES BILA KUSURCRIFICE(TIME,NGUVU,JASHO,AKILI,USINGIZI) KATIKA HAYA MAISHA HUWEZI VUNA KITU.NA ASIKUDANGANYE MTU HAKUNA SHORTCUT NA UKIPITA SHORTCUT NJIA YAKO NI FUPI MFANO CHIVAYO BONGE NYANYA KWISHA HABARI YAKE.

MAISHA YANA KANUNI NA HAKUNA WA KUBADILI HIZO KANUNI.YAANI KAMA ULIZALIWA JUA UTAKUFA HAKUNA MTUMISHI WA KUNENA KWA LUGHA WALA KWA KIGUGUMIZI ANAWEZA KUBADILI HII FACT.

ACHENI UJINGA NYIE WAPUMBAVU AMKENI,HIZO SADAKA MKAWAPE WATOTO YATIMA, MAFUKARA,WAGONJWA MAHOSPITALINI.HAO NDIO WAHITAJI.

MSIKITINI AU KANISANI SIO VIWANDA VYA MAGARI BALI VIWANDA VYA KUWAPUMBAZA MATAHIRA YAZIDI KUWA MBAYUWAYU ZAIDI.YAANI PADRE AU SHEKHE AKUOMBEE UPATE GARI UMEKUJA DUNIANI KUENDESHA GARI THEN WHAT.

UNAENDA KANISANI UOMBEWE UPONE, YAANI UNAUGUA KANSA UNATAKA UOMBEWE UPONE ALAFU AFE NANI.KAMA UNATAKA KWENDA MBINGUNI KWANINI HUTAKI KUFA ACHENI UNAFKI NYIE MBAYUWAYU.GADEMIT!!!

📌GET OUT OF YOUR COMFORTZONE WAJINGA NYIE!!!
 
Acha ujinga Mimi nimetumia biblia nikatoa maandiko ya yoh 14:6 nk nawewe toa reference alafu ujue YESU siyo mazingira
Kwanza ukishatumia Biblia kama rejea yako na unataka Kila mtu akubaliane na wewe basi mpaka hapo siwezi kuendelea kwenye Hilo jambo.
Unasema niache ujinga, ila wewe ujinga na upumbavu wako wa kutaka Kila mtu aamini Biblia Yako hauuoni.
 
WATANZANIA WANAPITWA NA MAMBO MENGI SABABU YA KUJIFUNGIA.JITU LIMEZALIA MPAKA LIMEANZA KUOTA MVII HALIJAWAHI KUTOKA NJE YA BARA LA AFRIKA.LAZIMA UWE ZUZU NA UPELEKESHWE NA WAJANJA.

USHAMBA MZIGO.DINI ZOTE NI SCUM/ UTAPELI.NA NI MIFUMO YA WACHACHE ILIYOWEKWA ILI KUWEZA KUTAWALA VIZURI.

DINI ZOTE ZINAZUIA TAFAKURI NA MASWALI MAGUMU.HUU KAMA SIO UJUHA SI ULOFA.

YAANI MIMI UNIJIE NA SOGA ZA MIAKA ALFU KENA NA WEHU UJE UNIAMBIE USENGEREMA AMBAO WEWE MWENYEWE UKITULIA VIZURI UNAJUA FIKA HAKUNA KITU CHANGA LA MACHO.HUU SI UJINGA.

INAINGIA AKILINI MTU ALITOKA MISRI AKAANDA KAANANI KWA MIAKA AROBAINI HIVI HATA KAMA ALIKUWA WANATAMBAA NDIO MIAKA AROBAINI.HIZI SI NDOTO😄😄😄

WENGINE WANAKUJA NA SOGA ZA KUTEMBEA JUU YA MAJI.HIVI MNAAKILI KWELI???HIVYO VICHWA MNAUWAKIKA MMEBEBA UBONGO???
Inafikirisha sana mkuu
 
Siyo LAZIMA uamini nimesema leta rejea Yako unipinge kwa rejea kama huna rejea twambie
 
Naamini kuwa dini ni kama mtego tu,

Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua.

Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi.

Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha.

Watu wako so brainwashed mpaka wamesahau, kuwa imani sio uhalisia, ni driving force ya ku maximize feelings.

Kwamba mtu anaye amini Kashindwa maisha, lazima maisha yamshinde maana mwili unakuwa derived more by thoughts and feelings.

Toka niache kwenda kanisani, naona sina stress tena, ni najua kuwa nikifeli kuna mahala nimezingua, nitarudi katika meditation 🧘‍♂️ na kurudi katika cause ya tatizo. Najua uponyaji uko ndani yangu, hakuna kiumbe kingine nje yangu ambayo ina affect maisha yangu.

Je, mnaokwenda kanisani huwa mnakwenda kumowmba nani, maana Mungu mwenyewe anasema yuko ndani yenu, ni alpha na omega.

Tungekuwa tunakwenda kanisani alafu hatufi basi, ningelikuwa na wahi seat ya mbele kabisa, ila sisi ni kama wanyama tu... Unazaliwa, unaishi, una zeeka na kudhoofika alafu unakufa.

Sasa kwanini ujipe umuhimu wa kudhani kuwa wewe na mnyama kuna tofauti?

Msije kusema nimechochea au kudhihaki watu, nimeongea mawazo yangu..

Jumapili njema.
"Mpumbavu husema hakuna Mungu"
 
WATANZANIA WANAPITWA NA MAMBO MENGI SABABU YA KUJIFUNGIA.JITU LIMEZALIA MPAKA LIMEANZA KUOTA MVII HALIJAWAHI KUTOKA NJE YA BARA LA AFRIKA.LAZIMA UWE ZUZU NA UPELEKESHWE NA WAJANJA.

USHAMBA MZIGO.DINI ZOTE NI SCUM/ UTAPELI.NA NI MIFUMO YA WACHACHE ILIYOWEKWA ILI KUWEZA KUTAWALA VIZURI.

DINI ZOTE ZINAZUIA TAFAKURI NA MASWALI MAGUMU.HUU KAMA SIO UJUHA SI ULOFA.

YAANI MIMI UNIJIE NA SOGA ZA MIAKA ALFU KENA NA WEHU UJE UNIAMBIE USENGEREMA AMBAO WEWE MWENYEWE UKITULIA VIZURI UNAJUA FIKA HAKUNA KITU CHANGA LA MACHO.HUU SI UJINGA.

INAINGIA AKILINI MTU ALITOKA MISRI AKAANDA KAANANI KWA MIAKA AROBAINI HIVI HATA KAMA ALIKUWA WANATAMBAA NDIO MIAKA AROBAINI.HIZI SI NDOTO😄😄😄

WENGINE WANAKUJA NA SOGA ZA KUTEMBEA JUU YA MAJI.HIVI MNAAKILI KWELI???HIVYO VICHWA MNAUWAKIKA MMEBEBA UBONGO???
Uko sahihi mkuu.
Mimi naelewa Binadamu wote tunapitia changamoto mbalimbali, magonjwa, shida na raha Kila binadamu anapitia Kwa wakati wake.

Umasikini na utajiri Kila mtu anapata Kwa wakati wake na kiwango chake tu.

Na yote hayo siyo kwamba Kuna kiumbe au Mungu fulani Yuko sehemu anaongoza, hapana, ni mazingira tu ndiyo yanaamua upate kitu fulani au uwe mtu Fulani.

Mfano ukiwa Mazingira yenye Ebola, Kuna uwezekano mkubwa wa wewe kupata ebola,
Siyo kwamba Mungu au shetani ndiyo amepanga upate Ebola, hapana ni mazingira uliyopo tu
 
Back
Top Bottom