Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

Nimepiga kizenji :pedroP:
I find this amusing bro 😂
Screenshot_20261012-161229~2.jpg
 
Mleta mada inategemea ulikuwa anasali wapi maana ata maandiko huna pia kama alikuwa anasali sehemu sahihi basi ulikuwa unasali kimtego Yani ulifikiri mfano utatajirika,utapata michepuko, utakwepa umaskini nk

Lakini pia mleta mada unajifunza kuwa atheist ingawa atheism inahitaji watu makini waliotekwa na SHETANI.
Suluhisho
Naamini mleta mada hujaacha tu kwenda kanisani pia umemwacha Mungu, kwahiyo mrudie Mungu ata usipoenda kanisani mwenendo wako utakuwa Bora kwa kumrudia Mungu katika KRISTO YESU.Mfano Mimi kutokana na aina ya kazi nilizonazo Nina mda siendi kanisani lakini ata mijadala yangu inanitambulisha ni mtu wa kanisani so mrudie Mungu au mpokee maana kanisani ata makaaba,waimba nyimbo za bongo wakiwa ktk video za nusu uchi, mafisadi,watekaji kadhaa huenda uko so unaweza kuwa kanisani na Bado hujamrudia Mungu.asante
Mungu huyo unaye mzungumzia ni yupi
 
Hili bandiko lako lina contradictions nyingi ambazo, aidha ni umeandika kwa makusudi ili kuzua taharuki au hauna uelewa wa kutosha wa dini.
Ni najua kuhusu nilicho kiandika.
Imeenda straight forward kuonesha kuwa wanakwenda kanisani wanakwenda kupoteza muda kulilia kitu kisicho kuwepo
 
Kiburi cha uzima,ni swala la muda tu,hata apotle Paul alikuwa kama wewe mwisho wa siku akawa nabii mkubwa sana akihubiri habari za Mungu aliye hai...
Kifo ni kifo wewe hauna tofauti na mnyama
 
Dini ni mtego ndio maana ni rahisi kumuona papa akifanya ubaguzi wa rangi hadharani na hutasikia mtu akilalamika kuhusu hilo. Hamna tajiri alietajitikia kanisani ila kanisa ndio linahitaji matajiri
 
Hii ni miongoni mwa best qoutes ninayoitumia katika kufanya maamuzi yangu .

Kuna wakati mambo ya shule walimu Fulani walikuwa jau na kunifanya nichukie masomo Yao na shule , ila nikakaa kujiuliza nikifanya maamuzi ya kuchukia hayo masomo na shule yatakuwa maamuzi kwa ajili ya nani na madhara yatarudi kwa nani ? jibu nikapata Mimi ndio muathirika namba Moja wa kila uamuzi nitakaochukua kuhusu Mimi , hapo nikatuliza akili na kuchanga karata zangu vyema .

Hadi kwenye maisha sometimes nilitaka kukata tamaa kwenye jambo Fulani zuri , nikajiuliza swali Moja hayo ni kwa ajili ya nani na nani muathirika namba Moja ? jibu likaja ni Mimi , hapo nikafunga mkanda na kusonga mbele
Maamuzi ni kwa ajili yako kweli, au kwa ajili ya ego (sense of self)
 
Mungu huyo unaye mzungumzia ni yupi
Ni anayeoneshwa katika biblia Yohana 3:26 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

Mwanawe pekee hapo ni YESU KRISTO
Maana yake unatakiwa umwamini huyo Mungu Katika YESU KRISTO yaani Mungu kupitia kwa YESU KRISTO
Biblia Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Biblia Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Back
Top Bottom