sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Si lazima kupenda kila kitu,lakini pia lazima tutoe ukakasi kwenye nafasi zetu maana huwezi kumchukia mtu/kitu bila sababu za msingiSijawahi kuvutiwa na channel ya huyu jamaa. Sijuhini kwanini yani
Fake
Sijawahi kuvutiwa na app ya youtube kiujumla umbea mwingi sanaSijawahi kuvutiwa na channel ya huyu jamaa. Sijuhini kwanini yani
Fake
Tatizo lilikua nini?
Kabla hatujaanza kuhukumu ni vizuri tukajua undani wake.