Hatimaye Millard Ayo aanza kuweka taarifa kuhusu Diamond kwenye kurasa zake

ugomvi wa clouds na diamond Ni wakijinga.haiwezekani mtu ambaye unagombana nae LAKINI ANA URAFIKI NA BOSI WAKO.
yaani diamond na kusaga ni MARAFIKI alafu wewe mfanyakazi unajifanya una ugomvi na diamond.
Hao clouds hawajielewi.
Hapo hapo mmiliki na bosi wenu wa clouds ana urafiki na diamond.
ishu ilikuwa ni ruge, ruge alikuwa anaheshimiwa na kila mfanyakazi wa clouds kuliko boss wa clouds kusaga
 
kwa hyo ruge ndo aliwaambia wasipige nyimbo za wcb.
Na unataka kusema ruge na kusaga walikuwa hawaelewani?.
Yaani bosi mkuu ana urafiki na diamond.
Ila bosi msaidizi ana uadui na diamond?
ishu ilikuwa ni ruge, ruge alikuwa anaheshimiwa na kila mfanyakazi wa clouds kuliko boss wa clouds kusaga
 
ugomvi wa clouds na diamond Ni wakijinga.haiwezekani mtu ambaye unagombana nae LAKINI ANA URAFIKI NA BOSI WAKO.
yaani diamond na kusaga ni MARAFIKI alafu wewe mfanyakazi unajifanya una ugomvi na diamond.
WCb kutokuchezwa clouds ni wafanyakazi hawataki au maboss?..maboss kina nani?..Kusaga si ndo boss?..urafiki na chibu ni wanini sasa kama wanabeef?

Huu ugomvi umegeuka kuwa na advantage kibiashara that's why
 
Ndo maana nasema wafanyakazi wa clouds hawajielewi.
Hauwezi kuwa na ugomvi na mtu ambae BOSS wako anakaa nae meza moja.
WCb kutokuchezwa clouds ni wafanyakazi hawataki au maboss?..maboss kina nani?..Kusaga si ndo boss?..urafiki na chibu ni wanini sasa kama wanabeef?

Huu ugomvi umegeuka kuwa na advantage kibiashara that's why
 
Taratibu tu Ngoja tuoneshane makali!!

In Dr Shika Voice!!!
 
kwa hyo ruge ndo aliwaambia wasipige nyimbo za wcb.
Na unataka kusema ruge na kusaga walikuwa hawaelewani?.
Yaani bosi mkuu ana urafiki na diamond.
Ila bosi msaidizi ana uadui na diamond?
Kama hujui hujui tu, 😁😁😁
 
Back
Top Bottom