sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
-
- #21
ugomvi wa clouds na diamond Ni wakijinga.haiwezekani mtu ambaye unagombana nae LAKINI ANA URAFIKI NA BOSI WAKO.
yaani diamond na kusaga ni MARAFIKI alafu wewe mfanyakazi unajifanya una ugomvi na diamond.
ishu ilikuwa ni ruge, ruge alikuwa anaheshimiwa na kila mfanyakazi wa clouds kuliko boss wa clouds kusagaHao clouds hawajielewi.
Hapo hapo mmiliki na bosi wenu wa clouds ana urafiki na diamond.
ishu ilikuwa ni ruge, ruge alikuwa anaheshimiwa na kila mfanyakazi wa clouds kuliko boss wa clouds kusaga
WCb kutokuchezwa clouds ni wafanyakazi hawataki au maboss?..maboss kina nani?..Kusaga si ndo boss?..urafiki na chibu ni wanini sasa kama wanabeef?ugomvi wa clouds na diamond Ni wakijinga.haiwezekani mtu ambaye unagombana nae LAKINI ANA URAFIKI NA BOSI WAKO.
yaani diamond na kusaga ni MARAFIKI alafu wewe mfanyakazi unajifanya una ugomvi na diamond.
WCb kutokuchezwa clouds ni wafanyakazi hawataki au maboss?..maboss kina nani?..Kusaga si ndo boss?..urafiki na chibu ni wanini sasa kama wanabeef?
Huu ugomvi umegeuka kuwa na advantage kibiashara that's why
Labda huko dar kwenu na pwani. Mkuu njoo mkoaniWasafi ndio wameishika industry ya burudani kwa sasa, ukikaa nao mbali unakaa mbali na pesa.
Kama hujui hujui tu, πππkwa hyo ruge ndo aliwaambia wasipige nyimbo za wcb.
Na unataka kusema ruge na kusaga walikuwa hawaelewani?.
Yaani bosi mkuu ana urafiki na diamond.
Ila bosi msaidizi ana uadui na diamond?