Ni mtoto w adada yake na mama Mkapa, alipewa kazi ofisi ya mawasiliano ya Ikulu wakati huo ikiwa headed na balozi Kalage, mtoto wa ubatizo wa Rais Benjamin Mkapa, mambo ya kuwa self made and achivers si ya kweli, ni kubebana kulikopita mipaka yote, tunasubiri Tripolitan kwa hamu sana sana sana, tena napenda kumpa ujumbe huyu rais wenu, kuna watu wamesomea na kusotea kazi za diplomasia kwa miaka chungu nzima ni watanzania wenzetu akome kabisa kuzima ndoto zao kw akutumia kodi zetu, kama anataka kutoa sadaka kwa washikaji zake awatume kutumia mshahara wake asiougusa maana tumesikia hata suti anahongwa. na sisi tuache kulalamika tu hebu tuanza kumuonyesha kwa vitendo, 2012 ni year of comeback, go go go watanzania tuache uoga