Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe ni mzoefu tu katika haya mambo na kakaa huko tayari. haipaswi kulalamika. Piga mzigo Mindi, tuache tuendeleze mapambano huku ili tukishaweka nchi sawa tuwarudishe
Wanajamii tujifunze kuandika ukweli,baadhi ya maneno yetu humu yananukuliwa na magazeti na kusambaza habari zisizo za kweli.Habari hizo hazijengi bali zinabomoa.Mindi hana mahusiano yoyote na Rahma Kharoos.Huyu dada ni mfanyakazi wa serikali toka mwaka 2006 alipomaliza shule yake kule Minneapolis/St.Paul,Minnesota.Kwa kipindi tofauti amesoma Warldof ,Iowa na baadaye Milwaukee,Wisconsin alipokutana na Mumewe Alex Tarimo.Mindi Kasiga ambaye amezaliwa mwanzoni mwa miaka ya 1980 ana Dada zake wawili,Kalunde (Kay) na Emma ambao wanaishi katika Jiji la Minneapolis.Mara baada ya kumaliza shule yake Mindi Kasiga aliajiriwa Ikulu - Dar-Es-Salaam katika Idara ya mawasiliano akifanya kazi na Asha Mtwangi,baada ya Mkataba wao kuisha alifanyakazi ktk Ofisi za UN,Dar kabla ya kuingia Foreign Affairs.Katika Mikutano ya Dicota September/2011(Washington -DC), Mindi alikuja akiambatana na Ujumbe kutoka Foreign Affairs.Kupangiwa kazi Ubalozi wetu DC ni maombi maalumu ya Mama Balozi,baada ya kuona kuwa Kasiga ana ufahamu na mambo ya USA kutokana na kuishi na kusoma huko.Tumpe ushirikiano,ni kijana mdogo lakini mwepesi kujifunza.Ni kweli Mama mzazi wa Mindi ni Dada yake Mama Mkapa,Kama ilivyo kwa Balozi Sefue na Balozi Mstaafu Ben Moses.Baba yake mzazi Mindi ambaye ni Marehemu ni mzaliwa wa Tabora,na kipindi cha nyuma alikuwa Daktari katika makambi ya Wapigania uhuru.Mindi ameolewa na ana mtoto mmoja.

hapa sasa nimepata jibu
kumbe ndio maana sipati kazi za kupanda ndege kwa kuwa nimesoma shule za kata,kumbe kama ukisoma FLORIDA,QUEENSLAND,UKFRONT basi kazi nje nje lakini pia bado kuna umama mdogo na ubaba mkubwa,ukizingatia wazazi wangu wameishia kulima mpunga pale KIHELEZO-LUHEMBE basi tena sina changu
ngoja nikafukuze ndege mie,watamaliza mpunga wangu
haya jamani ooooh UDSM,SUA,UDOM hizi kazi hupati ng'oooooooooooooooo
Moja ya sababu inayonifanya nisiipende sana blog ya michuzi pamoja na yeye mwenyewe, hayupo kuelimisha/kujuza umma,bali kama kipigia debe flani cha ccm, haiyumkini mambo yanayoelekea kutokuwa mazuri kwa ccm atayaficha
We umeenda kwa mishe zako alafu wakupe kazi ubalozini?hakuna kitu kama hicho,wengi kama sio wote wanakuwa wapo ofisi ya wizara hapahapa Tanzania na kuhamishiwa huko,sasa wewe unategemea nani akupe kazi wakati hakuna anayekujua na unaishi ughaibuni joblessJe ni kwanini wasiwape hizi kazi Watanzania wanaoishi USA badala ya kuleta watu kutoka Tanzania ambao wengi wanachua miaka mingi sana kuzoea utamaduni. Kila siku kuna malalamiko ya huduma kwasababu watu wanaofanya kazi hawajazoe mazingira. Mimi kwa mawazo yangu hakuna haja ya Tanzania kuajiri watu kutoka Tanzania kwenye shughuli za ubalozi kuna watu wengi sana USA na nchi nyingine ambao wangeweza kufanya hizo kazi na wengi wao hawahitaji kulipiwa vitu kama vyumba n.k maana ni wenyeji lakini ni wa Tanzania.
Hivi bado yupo kazini!? ....au naye huenda akakimbia kazi kama wale wa NSSF maana sasa hivi safari za kila leo ughaibuni hakuna, sasa hizo picha atampiga nani!Mkuu mwanzo nilikua mfuatiliaji mzuri sana wa Blog ya michuzi,,lakini baada ya kuja kugundua naye ni walewale huu ni mwaka sasa sijakanyaga tena mule ndani
Aisee Adam Gille hana uhusiano na Gile wa Richmond. Adam Nimekuwa nae kitaa mshua wangu na wake walikuwa wanafanya shirika moja hivyo ni mtu tuliyrcheza wote tangu utoto. Gille ni ukoo unaotokea Shinyanga, kama koo nyingine za Magina Ng'wandu etc.![]()
Blog ya Michuzi jana ilitoa picha ya tukio la Mindi Kasiga kuagwa akijiandaa kwenda kufanya kazi kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Washington. Ghafla picha zile zilichomolewa toka kwenye wavuti. Wengi wanashangaa ni kwanini wahusika walifanya hivyo. Je ni kutokana Mindi kuwa mdogo wake Rahma Kharoos Kasiga anayesemekana ni nyumba ndogo ya bwana mkubwa au ile haya ya sherehe hiyo kuhdhuriwa na Adam Gile ambaye hatuna uhakika kama ana uhusiano na akina Gile wa Richmond? Je sababu ni kutotaka watanzania wasijue jinsi watu wanavyohudumiana na kupendeleana mchana kweupe?