Hatimaye Mindi Kasiga aenda kuula Washington Michuzi blog yachomoa picha za tukio baada ya kustuliwa

Sidhani kama haya ndo majaaliwa yetu Watanzania. Tuache kulalamika. Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.
 
kumbe ni mzoefu tu katika haya mambo na kakaa huko tayari. haipaswi kulalamika. Piga mzigo Mindi, tuache tuendeleze mapambano huku ili tukishaweka nchi sawa tuwarudishe

mkuu sipati picha ulivyowafugia hasira..
 
Bongo kuna tisha....hauna jina, haujulikani kafe mbele. Duuh hii dhulma.
 

Nimekubali
 



Kutoka kushoto ni Afisa Mindi Kasiga, Afisa Suleiman Saleh, Dr Switebert Mkama, Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, Waziri kivuli wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Ezekia Wenje, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Lazaro Nyalandu, Afisa Kiju, Kaimu Balozi, Mh. Lily Munanka, Afisa Abbas Missana, Afisa Agnes Lusinde, Afisa Edward Masanja na Brigedia Jenerali Maganga wakiwa katika picha ya pamoja.








 

Mimi cheti changu ni bureeeeeeeeeeeeeeeee

sipati kaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Mungu awalaani hawa wanaopeana kaziiiiiuuuu
 
Moja ya sababu inayonifanya nisiipende sana blog ya michuzi pamoja na yeye mwenyewe, hayupo kuelimisha/kujuza umma,bali kama kipigia debe flani cha ccm, haiyumkini mambo yanayoelekea kutokuwa mazuri kwa ccm atayaficha

Mkuu mwanzo nilikua mfuatiliaji mzuri sana wa Blog ya michuzi,,lakini baada ya kuja kugundua naye ni walewale huu ni mwaka sasa sijakanyaga tena mule ndani
 
We umeenda kwa mishe zako alafu wakupe kazi ubalozini?hakuna kitu kama hicho,wengi kama sio wote wanakuwa wapo ofisi ya wizara hapahapa Tanzania na kuhamishiwa huko,sasa wewe unategemea nani akupe kazi wakati hakuna anayekujua na unaishi ughaibuni jobless
 
Hovyo tu. Ukienda pale ubalozini kwetu Washington DC wanaringa kama nini. Huyu dada hata suala dogo tu hawezi kukusaidia. Hovyo kabisa!
 
Mkuu mwanzo nilikua mfuatiliaji mzuri sana wa Blog ya michuzi,,lakini baada ya kuja kugundua naye ni walewale huu ni mwaka sasa sijakanyaga tena mule ndani
Hivi bado yupo kazini!? ....au naye huenda akakimbia kazi kama wale wa NSSF maana sasa hivi safari za kila leo ughaibuni hakuna, sasa hizo picha atampiga nani!
 
Aisee Adam Gille hana uhusiano na Gile wa Richmond. Adam Nimekuwa nae kitaa mshua wangu na wake walikuwa wanafanya shirika moja hivyo ni mtu tuliyrcheza wote tangu utoto. Gille ni ukoo unaotokea Shinyanga, kama koo nyingine za Magina Ng'wandu etc.

Ninachojua Adam anafanya kazi Ikulu kama mwaandishi wa habari na shavu hili alipewa enzi za JK (kuna uhusiano kati ya mama wa adam na akina kikwete).

Kwa namna hiyo katika picha hy upo uwezekano wa kwamba Adam alialikwa kwenye hiyo party na co worker huyo aliyekuwa anaagwa na yy kuamua kuambatana na mdogo wake huyo ambaye yy anafanya kazi BOT. Kwa ufupi ni hvy naijua hiyo familia ya akina adam kwa kina.
 
Saa zingine unasema bora huyu Magu
 
Yaani watu hawana sifa hawajaenda shule wapo ofisi kubwa.wkt mwingine bora magufuli tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…