Hatimaye Miriam Odemba akiri kudanganya umri

Hatimaye Miriam Odemba akiri kudanganya umri

Shida mamodo wetu wengi wametoa mimba 20na yameshanyonyesha maziwa yako magotini au kama malapa sasa tutashine vp kimataifa
 
Duh Odemba! Aisee mwenye picha yake atupie,,mara ya mwisho nilimuona kwenye tangazo la levora kitambo sana.
 
Daa! Kumbe ni janga la taifa ila penda sana huyu mdada. Mwenye update za gwajima please mtujuze na huu uvumi ulioenea.
 
Namkubali sana huyu mrembo..nimemsikia kianzia niko primary. Penda sana odemba Miriam
 
Back
Top Bottom