Hatimaye Miriam Odemba akiri kudanganya umri

Hatimaye Miriam Odemba akiri kudanganya umri

Alafu Salama alimuelekeza akiingia aigize kama vile ndio kwanza kamuona Johan, yeye akasahau akamsalimia na kumtaja jina........sijui amepanic nini.
 
Alafu Salama alimuelekeza akiingia aigize kama vile ndio kwanza kamuona Johan, yeye akasahau akamsalimia na kumtaja jina........sijui amepanic nini.
Kwahiyo kile kipindi ni cha maigizo???
 
Kwahiyo kile kipindi ni cha maigizo???
Kuna pati wanatakiwa kuigiza, haswa pale mwanzo ila sio lengo lao wewe mtazamaji ushtukie........sasa kama ulikuwa makini kumsikiliza Salama utagundua Odemba alikosea maelekezo.
 
Kuna pati wanatakiwa kuigiza, haswa pale mwanzo ila sio lengo lao wewe mtazamaji ushtukie........sasa kama ulikuwa makini kumsikiliza Salama utagundua Odemba alikosea maelekezo.
Itabidi nirudie kutizama mkuu
 
Afadhali alijiongeza kuliko hawa mabibi wanaojipunguza!Mtu ana miaka 30 halaf anasema ana miaka 21!Anapunguza miaka 9 mizima!!
 
alivyopata deal ya mnet alihojiwa kuhusu boyfriend akajibu ueye sasa hivini superstar boyfriend wake ni level za akina ronaldo(de lima)..nilivunjika mbavu
 
Jamani hivi Flaviana Matata , Happines Magese na huyu Miriam nani ni super star kwenye hiyo tasnia yao ya umodel?
 
Back
Top Bottom