Akihojiwa na mtangazaji ktk kipindi cha nevarna eatv amesema alilazimika kuongeza umri ili aruhusiwe kushiriki mashindano ya urembo kwani alikuwa chini ya miaka 18.
Nasikia hana uwezo wa kushika/kubeba mimba
umemfananisha na happynes magese
Ila yuko natural huyoo
Nasikia hana uwezo wa kushika/kubeba mimba
Ila kachuja kinoma
Hapo kwenye avatar! !