King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
eti, si ni Avatar tu! angejua kuwa we ni li bibi !Ni avatar tu
Na Mimi nikifika Nyamisati napanda boti naenda Mafia.Ruge kama hajamla naama Arusha naenda Nyamisati au Kimanzichana.
Hapo Sitti Mtemvu a.k.a Bibi Bomba anaomba wangebadilishana miaka.Cc sitti mtemvu
Analea mtoto kwa Ss na anaishi Paris na mume wakeNasikia hana uwezo wa kushika/kubeba mimba
Hapana... kama kumbukumbu zangu hazijapotea, alikuwa Miss Temeke but wow, she's so hot! Ni kv tu wakati ule walidhani sharti uwe ngongoti ndo uwe na sifa ya kutwaa crown!Hivi aliwahi kuwa Miss Tanzania???
Teh teh umenichekesha sana kwa hiyo ni bora binti yako aendeshe mbaula ??Mamodel wa kibongo wengi ni machangudoa, kazi Yao ni kuwauzia tako mababu wa kizungu. Binti yangu Bora aendeshe lori kuliko kuwa sijui Miss maharage sijui Miss Tandika. Ovyo tu