Akwendreee mbona wakipunguza umri hawasemi
Nasikia kwa sasa ni tajiri sana.ana mtoto anaitwa iris
Sasa nashangaa huyo King Kong III anasema ruge amle mke wa mtu.Analea mtoto kwa Ss na anaishi Paris na mume wake
Wewe nawe mbona husemi wakiongeza umri?Akwendreee mbona wakipunguza umri hawasemi
Kwahiyo kile kipindi ni cha maigizo???Alafu Salama alimuelekeza akiingia aigize kama vile ndio kwanza kamuona Johan, yeye akasahau akamsalimia na kumtaja jina........sijui amepanic nini.
Ha ha ha eti simbilisiAlafu sio msikivu.....Salama was like "uwe unasikiliza we simbilisi"
Kuna pati wanatakiwa kuigiza, haswa pale mwanzo ila sio lengo lao wewe mtazamaji ushtukie........sasa kama ulikuwa makini kumsikiliza Salama utagundua Odemba alikosea maelekezo.Kwahiyo kile kipindi ni cha maigizo???
Itabidi nirudie kutizama mkuuKuna pati wanatakiwa kuigiza, haswa pale mwanzo ila sio lengo lao wewe mtazamaji ushtukie........sasa kama ulikuwa makini kumsikiliza Salama utagundua Odemba alikosea maelekezo.
mkuu umeingia chaka aise...hahahahaaaaa,umedandia chopa!Nasikia hana uwezo wa kushika/kubeba mimba
Hahahahaaa wewe nae umenichekesha....Teh teh umenichekesha sana kwa hiyo ni bora binti yako aendeshe mbaula ??
Hahaha cheka tu niffah maana huyu jamaa kanichekesha sana yaani typical AfricanHahahahaaa wewe nae umenichekesha....