Hatimaye miss Tanzania ajinyakulia gari ya aina yake

Mbona imejaa mabango kama ya wichdokta?
Hahahahah... Mkuu umenikumbusha mbali sana, kuna wale jamaa wanaouza madawa ya kuongeza nguvu...... na blabla nyingine ndio gari yao ina machata hivyo. Mimi nimefikiri wamewaazima majamaa coz hiyo gari kama ni ya miss tz kweli basi ni MATUSI kwa mhusika na haina hadhi na muda aliocheleweshewa kupata hiyo zawadi (bango la matangazo ya vipodozi)
 
Kila mwaka zawadi kwa miss Tz..lazima ilete sheshe na mtifuano...ila hii imezidi dadeki

Hata huyo miss,ukicheki 'body language' ni basi tu, afañyeje hana
 
Siku hizi tumepiga hatua kweli, tumeamua kutumia mabango yanayotembea na hapo halmashauri nyingi zitajipatia kodi kila linapopita unachukua chako unamkabidhi risiti yake.
Hebu chukulia asubuhi liamkie Temeke mchana Ilala jioni Kino na usiku Kibaha. Asanteni sana waandaaji kwa huu ubunifu wenu.
 
Imebidi nirudie kusoma Mara mbilimbili......hivi ni miss Chagga au miss Tanzania???
 
Hahaaaaa bora guta kuliko hiyo dharahu waliyompa miss tz
 
Kigari kimeshatembelewa hiko hadi kimechoka.. Kwa kweli siyo hadhi yake hiko kigari cha matangazo ya Grace products
hahaha
niliwaza hivo pia

lakin uchumi mgumu jaman muwafikirie kamati, gari yenyewe kuitoa imechukua mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…