bahati30
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,625
- 883
Hahahahah... Mkuu umenikumbusha mbali sana, kuna wale jamaa wanaouza madawa ya kuongeza nguvu...... na blabla nyingine ndio gari yao ina machata hivyo. Mimi nimefikiri wamewaazima majamaa coz hiyo gari kama ni ya miss tz kweli basi ni MATUSI kwa mhusika na haina hadhi na muda aliocheleweshewa kupata hiyo zawadi (bango la matangazo ya vipodozi)Mbona imejaa mabango kama ya wichdokta?