Hata mimi nikajua,miss natafutaImebidi nirudie kusoma Mara mbilimbili......hivi ni miss Chagga au miss Tanzania???
Au usikojoe hapa sinzaaKigari kimeshatembelewa hiko hadi kimechoka.. Kwa kweli siyo hadhi yake hiko kigari cha matangazo ya Grace products
Mimi nikikosoaga vitu kama hivi naonekana nna dharau ila ukweli kuna vitu ukiviona u nashindwa hata uvielezeeje lol ,ptuu...!!jamani!!! si wangempa hata IST tu? yaani icho kimeo hakina hadhi yake kabisa....ptuuu,,,ngoja nione kama Hoyce Temu atapost hii zawad btw nimeipenda hashtag ya kikuda ya Clouds hahaa
Hawa watu KICHEFUCHEFU sana hivi waaandaji ni wakina nani hasa,wameumbwa na nyuso zisizo na haya,ni kama wanyama vile?
Ndo maana thread title imekuwa "gari la aina yake" mleta mada ni mbongo himselfLakini miss Tanzania mbona kwa jinsi alivyo na hilo gari wanaendana kabisa