Hatimaye miss Tanzania ajinyakulia gari ya aina yake

Hatimaye miss Tanzania ajinyakulia gari ya aina yake

Lakini miss Tanzania mbona kwa jinsi alivyo na hilo gari wanaendana kabisa
 
Wanabodi,

Miss TZ 2016 amepewa zawadi ya gari ambayo sijajua aina yake lakini in amatangazo ya bidhaa zenye thamani takribani ya Milion 900.

IMG_20170511_131640.JPG


Sasa sijui ni zawadi au ni anatangaza biashara!

002.GARI.JPG

Hii kapewa Miss tanzania 2011 Salha
 
jamani!!! si wangempa hata IST tu? yaani icho kimeo hakina hadhi yake kabisa....ptuuu,,,ngoja nione kama Hoyce Temu atapost hii zawad btw nimeipenda hashtag ya kikuda ya Clouds hahaa
Mimi nikikosoaga vitu kama hivi naonekana nna dharau ila ukweli kuna vitu ukiviona u nashindwa hata uvielezeeje lol ,ptuu...!!
 
Aisee namba imesomeka ha ha ha ha. Sio tu hiyo gari haiendani na hadhi yake, ila ina matangazo kufa mtu.
 
Maharage ni kiungo cha kande .....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kitambo tulikuwa tuna miss vinu vYa lundenga hasa sio hiki chuma cha 2016 ....cha kawaida zawad inaendana na YY
 
Nilisikia wanaka kumzima. Anyway hii Dani wabongo tuache.. tuendelee na karata bao na draft
 
Back
Top Bottom