bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Hata kama inatambua,huyu ashaukana.Huwezi pewa position kama hizo ukiwa na passport mbili.Katiba ya Kenya inatumbua uraia pacha. Ndio raha ya taifa viongozi wake progressive. Tanzania tunachechemea na uongozi reactionary. CCM bure kabisa.