bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,370 Reaction score 3,962 May 10, 2017 #21 simplemind said: Katiba ya Kenya inatumbua uraia pacha. Ndio raha ya taifa viongozi wake progressive. Tanzania tunachechemea na uongozi reactionary. CCM bure kabisa. Click to expand... Hata kama inatambua,huyu ashaukana.Huwezi pewa position kama hizo ukiwa na passport mbili.
simplemind said: Katiba ya Kenya inatumbua uraia pacha. Ndio raha ya taifa viongozi wake progressive. Tanzania tunachechemea na uongozi reactionary. CCM bure kabisa. Click to expand... Hata kama inatambua,huyu ashaukana.Huwezi pewa position kama hizo ukiwa na passport mbili.