Hatimaye Mkoa wa MARA wakalibia kupata timu ya ligi kuu 2018/2019

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,715
Reaction score
2,385
Ongera sana wana wa mkoa wa mara(KIUMENI) kwa hatua hiii, mmekuwa kimya sana atimaye yanaenda kutimia.


Tuna waombea Timu ya BIASHA Kufika mbali hata kupata mafanikia makubwa.
Matokeo ya mechi za leo 26/01/2018


Binafsi nilitegemea kariakoo ndo ingetoa jina la timu biashara lakini wajanja wa kiumeni(mara ndo wamewakilisha safi sana)

CC kwa wakazi wooote wa jiji la Arusha,
[emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…