Hatimaye mkuu mpya wa chuo cha SAUT aanza kazi rasmi

shigegele

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
211
Reaction score
25
hatimaye mkuu mpya wa chuo cha saut mwanza aanza kazi baada ya fr. mgeni kujiuzulu,hyu nae ni fr. ametokea Jordan university ambayo ni branch ya saut,fr. kitima kaiacha pabaya sana saut mpka leo kuna wafanyakazi wenzetu hawajalipwa mishahara ya miezi mitatu,kitima ni fisadi sana
 
Nimesoma Saut enzi za miaka ya 2005 to 2008,

Pindi hicho chuo kilikua cha ukweli,but now days mnakwiba hela za wanafunzi kwa nguvu, mnapiga penati za ajabu,mnaficha matokeo ya watu hadi wakalipe 50,000 kwa kila somo,ndo mtoe matokeo yake,

Huko examz depart pameoza,IT ndo usiseme watu wanavaa joho wakati hawaja clear vimeo vyao means pesa inaongea!!
 



Mbona haraka sana? tuambie huyo mkuu mpya ni nani?
 
Mnakwapua hela za watu kwa lazima,tukiwasema mnatishia tukasome Makelele,acheni ukwapuaji wa mali zetu
 

Hoja Yako Ni Kitima au Kujiuzuru na Kupatikana Kwa Mkuu Mpya? Jifunze Kujenga Hoja au Uwezo Wako Wa Kufikiri Ndiyo Umekomea Hapo????????????????????????????
 
mleta hoja huelewek toa jna la mkuu mpya na cv na kwann aliyepta aljiuzulu...na ktma aliondoka kwann porojo za mitian ziundie topc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…