miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Okey... hebu niambie.. kuna uongo gani? Mbona unakua na uchungu sana juu ya mwanaume mwenzako? Nimedhihaki wapi? Biashara ni za familia ama si za familia? Biashara zake hazina uhusiano na simba ama hazina?Wewe ndiye uliyeanza kutoka nje ya mada na kujadili biashara za familia ya MO na kumkejele kua biashara ni ya familia na hata fedha anazotoa kwa Club kwasasa ukakejeli,au ulikua unaandika huku ukiwa usingizini?
Walishapatana mweeh[emoji23][emoji23] watu na uwaziri wameukosa. Hivi mbona watu wanaumia hv na wanajua kbs hapa ni utani wa jadiKigwangala ana maoni gani kuhusu hili? [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni sawa kabisa. Hata wewe hupaswi kutukanwa na yeyote hata ungekua muokota makopo.MO yuko sahihi sana.
Unamtukanaje mtu halafu uhesabiwe haki ?
Wengi mnaobisha inamaana mnataka mruhusiwe kumtukana bila sababu ?
MO fanya kweli.
😳😳😳😳Kuhusu Simba
"Naahidi kuendelea kuwa mtumiaji mwaminifu, mtiifu na mvumilivu wa mtandao huu mwakani," amesema MO.
Kumfananisha mo na uliowataja ni kukosa heshima kwa moAmeyataka mwenyewe, watz ni wazuri sana kwenye black mailing and bullying na hii yote ni wivu , chuki na roho mbaya
Sidhani watamuogopa, the best way is to keep personal life private..
Anapenda jina, matajiri wenzie kila business ina ID yake,
Yeye ndio simba, yeye ndio mo energy yeye ndio mo juice...
Atulie a deal na kizazi kisicho na ajira na mashabiki wasiojielewa
Bakhresa, Rostam huwez waona na hizo mambo
Hata hawa waliotangulia mbele za haki hawakuwa hivi
Mengi
Mufuruki
Subash Patel etx
Achana naye huyo. Steresi za maisha tu labda. Watu tupo hata tunataniana tu kama ilivyo kawaida yeye mishipa ya shingo imemtoka kisa Mo kataniwa. Angekuwa mwanamke ningesema labda anamtamani Mo...
Tunakataa matusi, Kejeri, maneno ya Kibaguzi na mambo kama hayo.Ni sawa kabisa. Hata wewe hupaswi kutukanwa na yeyote hata ungekua muokota makopo.
Ila utani kama kawaida. Mtani huyo. Lazima tumtaniere. Na tunawaombea bundi atue hapo mkuu[emoji23][emoji23] bakuli litembezwe
...aisee...wewe ni shabiki wa mnyama Simba?...Mudi kama Mudi.
Wher is our 20 biriwon[emoji23][emoji23]
..kutongoza ni kitu kingine na kukaza ni kitu kingine..mudi ana hasira tu Mkude amemkaza Babra wake
MudMwamedi kama mwamedi
Tungoje Hamis AjeKigwangala ana maoni gani kuhusu hili? [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukiona hivyo juwa anakaribia kufilisika!Mwenyewe ana maneno ya shombo balaa. Tangu wale mabaharia wamteke na kwenda kumvalisha kanga kwa siku tatu mfululizo hayuko sawa. Bilionea mzima kila siku yuko mitandaoni kupiga umbea. Sasa wakimjibu eti anaumia. Mbona mabilionea wenzake hawako hivi?
Manara yupo, atamsaidia kujibu hizo shombo.Huyu muhindi pori ataweza kweli kujibu maneno ya shombo
Tatizo ni zile bilioni 20 anazodaiwa na Simba SC!Sitavumilia- MO
-
Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ( @moodewji ) amesema mwaka 2021 hatowavumilia wale wote wanaotoa lugha za matusi na kumvunjia heshima.
Mo ametoa onyo hilo jana kupitia ujumbe wake mrefu wa kufunga mwaka 2020 aliouchapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram.
"Azimio langu kwa mwaka ujao humu mtandaoni ni kutovumilia wale wenye lugha za matusi na kunivunjia heshima mimi binafsi.
"Nitalazimika, japo kwa shingo upande na moyo mzito sana, kuwa-block, ku-report na ikibidi, kuchukua hatua za kisheria. Naamini kutumia lugha ya matusi na kudhalilisha dhidi ya mtu katika hadhara si ustaarabu wetu Watanzania, si maadili ya dini zetu na si uungwana pia.
"Sote tuna maisha nje ya mtandaoni. Wengi wetu ni wazazi, tunao pia wazazi, wategemezi na watu wengine muhimu kwetu ambao tunawaheshimu, wanatuheshimu na wana matarajio juu yetu," amesema Mo na kuongeza kuwa;
"Haipendezi kuwakwaza na kuwaumiza hao wanaotuthamini na kutuheshimu kwa figisu za maisha yetu ya mtandaoni.
"Nachukua fursa hii kuwaomba radhi wale wote niliowakwaza mtandaoni katika mwaka huu unaoishia. Nami nimesamehe wale wote ambao walinikwanza kwa namna moja au nyingine," amesema Mo
Kuhusu Simba
Aidha, kuhusu Klabu ya Simba, Mo amesema; "Tunapomaliza mwaka, nawashukuru wote humu mtandaoni kwa kunikosoa, kunijenga na kunishauri mengi mimi binafsi na klabu yetu ya @SimbaSCTanzania.
"Mawazo yenu, michango yenu na matani yenu yamenifanya kufurahia uwepo wangu humu mtandaoni.
"Nawashukuru kwa daima kusimama nami katika nyakati zote na majira yote. Iwe heri, iwe shari, mmenionyesha upendo usio kifani.
"Naahidi kuendelea kuwa mtumiaji mwaminifu, mtiifu na mvumilivu wa mtandao huu mwakani," amesema MO.
Taarifa: mtanzanianews
Huna akili wewe na wala hujui hata unajadili nini,unaruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,una umasikini wa fikra.Okey... hebu niambie.. kuna uongo gani? Mbona unakua na uchungu sana juu ya mwanaume mwenzako? Nimedhihaki wapi? Biashara ni za familia ama si za familia? Biashara zake hazina uhusiano na simba ama hazina?
Yuko ndani ya mkataba ama hayuko?
Acha kuwa na uchungu hivi juu ya mwanaume mwenzako.
....Baasi! Hapo hapo! Ndio zinamtia Kiwewe! Wenye timu yao wanapohoji, atasema in matusi? Ni Kashfa??? [emoji15][emoji15]Tatizo ni zile bilioni 20 anazodaiwa na Simba SC!
....Mikwara Mbuzi tu hiyo! Alipe Bilioni anazodaiwa ununuzi feki was timu yetu a one kama Luna MTU atakuwa na shughuli naye!Sitavumilia- MO