Hatimaye moyo wa Nay wa Mitego wadondokea kwa mtoto mzuri wa Kiethiopia

Hatimaye moyo wa Nay wa Mitego wadondokea kwa mtoto mzuri wa Kiethiopia

nilidhan wako pamoja kwenye picha kumbe itz a work of photogrid
 
Dah! Nay kaniwahi kuopoa mtoto wa kihabeshi!!!
Watoto wazuri sana hawa ngozi matata kila kitu swadakta kabisa!!
Hongera NeyTrueBoy!
Kwani kaoa ethiopia nzima nenda nchini kwao katafute watoto wazuri mkuu ukishindwa nitafute nikuunganishie maana ninao mashosti zangu kibao wahabeshi
 
Huyu kapata mkimbizi anadhani... aende kwenyewe kuna wakali haswa... huyu anafanana na wa Eritrea wa kawaida sana mbona
Hilo kweli mkuu aende kwenyew huyo mbona kaweka nywele ka za bandia hivi ila wenyewe haswaaa duh ni wakali hatariiii
 
Mwambie Ney Wa mitego watoto wakiethiopia balaa,kwa wale waliokwenda Ethiopia ukifika unaambia Hapa kuna utapeli Wa mapenzi kuwa makini,mwambieni akikubali kwenda kwao basi Nguo na pesa aweke akiba airport
Mkuu ni kweli kwa wale waliowahi kusafiri kwa ndege ethiopian airline inayotokea zanzibar inapitia kilimanjaro hivi karibuni kuna dada mmoja mule ni host kwenye ndege aiseeeeeh yule dada nilijua ni malaika sikutaka mpaka mwisho na alikuwa amevaa mavazi yao ya kiasili meupe yaani nilijua ni malaika kabisa nilihisi nilikuwa nikimuona mwenyew hakuna mwingine anayemuona ila ni mimi maana ule sio uzuri
 
Back
Top Bottom