Hatimaye msafara wa wana Kibera waanza kuhama kwenda kwa nyumba nzuri mpya

Hatimaye msafara wa wana Kibera waanza kuhama kwenda kwa nyumba nzuri mpya

Hongereni sana kwa kuwapa makazi bora wananchi walalahoi

Ni jambo zuri sana ikiwa mpango huu utakuwa endelevu ili kusaidia idadi kubwa ya Wananchi wanaohangaika kwenye mabanda
 
Back
Top Bottom